Nguo gani ya cotton hapo kkoo inatoka China? Tatizo lako umejaa theory za makaratasi nenda field, kuanzia boxer, Suruali, mashati, Jezi, kanzu za waisilamu, Madera mengi etc ni polyester ama material yanayofanania, ukikuta yana cotton basi cotton 10 ama 20% inayobakia Polyester,
Nimekutajia kiwanda Kimoja tu cha 21st century kinazalisha mita milioni 100 za kitambaa ni small scale hio? Mita milioni 100 kama unashona fulana ama Tshirt si unavalisha Nchi nzima? Na kuna viwanda vingine tofauti na hivyo.