Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hata majengo yenyewe ni ya kawaida sanaSimba na Yanga zife majengo yao yawe viwanda
Kwanza lazima moate viongoz wenye kuamini maono hayo, policy(sera) zibadilike. The utekelezajiKijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Hata hawa wakiamua inawezekanaKwa
Kwanza lazima moate viongoz wenye kuamini maono hayo, policy(sera) zibadilike. The utekelezaji
Hawa wameshapotea, they cant. Else wangeshafanya miaka mingi sanaHata hawa wakiamua inawezekana
Inawezekana kama voongozi wakiamuaSera ya tanzania ni ya maneno sio vitendo
Hivyo vibali wanatoa serikali huwezi wakwepa serikali kwenye hili na kwenye mambo mengi yanayohusu uwekezajiMkuu, wazo lako ni zuri, suala hapa sio kwa Serikali.
Hakuna Serikali imewahi kusaidia uchumi ukakua kwa kasi.
Ni wananchi, wananchi wenye utayari ndio watasababisha hayo.
Serikali ni kitu cha kukutengenezea wewe mfumo utakaokuwezesha kufanikisha maono yako.
Hili suala la kuitaji Serikali pia linatukwamisha, ni sisi kuamka, hili wazo lako mwenye mtaji wa kutosha, sasa alichukue alifanyie kazi.
Serikali inatupatia walimu wa kutufundisha na mifumo yake, ila mwamuzi wa mwisho kuwa aitumieje ile elimu kwa manufaa ya jamii, ni mhitimu mwenyewe.
Mtaji, uthubutu, uvumilivu ni masuala ya msingi kufanikisha.
Mkuu tukiisubiri serikali hakuna kitakachofanyika kwa wakati.Hivyo vibali wanatoa serikali huwezi wakwepa serikali kwenye hili na kwenye mambo mengi yanayohusu uwekezaji
Vibali si wanatoa serikali na wakikunyimaMkuu tukiisubiri serikali hakuna kitakachofanyika kwa wakati.
😂Vibali si wanatoa serikali na wakikunyima
Hakuna jambo rahisi😂
Ila mtambue hamuwezi kufanya industrialization, mabeberu wame wa limit, unadhani wao bidhaa zao watawauzia akina nani?.
Ntaelezea viwanda vya aluminium nikiutoa uzi nitakutagHata viwanda vya kutengenza masufuria hamna.
Huwezi piga marufuku kama Huna mbadala wa kuzalisha nguo za bei nafuu mpya hapa TanzaniaKwanza tupige marufuku mitumba.
Na huwezi kupata mbadala kama kuna cheap import sokoni. Mnawaza kinyumenyume.Huwezi piga marufuku kama Huna mbadala wa kuzalisha nguo za bei nafuu mpya hapa Tanzania
KabisaaKwanza tupige marufuku mitumba.