Nini kifanyike na sisi Tanzania tuwe na viwanda vingi vya nguo

Ndiyo huwezi kupata mbadala wakati unaruhusu mitumba ya bilioni 250 iingie nchini kila mwaka. Unafikiri bila kupiga marufuku mifuko ya plastiki watu wangejenga viwanda vya vifungashio?
Lazima ujipange huwezi zalisha nguo Tanzania ilihali China ni bei rahisi, kikubwa ni kutengeneza mazingira ya viwanda vya awali vya kutengeneza nyuzi ili tuweze shidana na njia nyingine kama China au Turkey
 
Utajipanga milele. Unadhani Trump anayeweka Tariffs kwenye bidhaa ambazo US hawazalishi ni mjinga.
 
Utajipanga milele. Unadhani Trump anayeweka Tariffs kwenye bidhaa ambazo US hawazalishi ni mjinga.
Marekani sio sawa na Tanzania
Kama nchi tupambane tuanzishe spinning za kutengeneza nyizi (yarn) tupambane gharama za uzalishaji ziwe ndogo zaidi ya China na baada ya hapo automatic watu hawatanunua China tena
 
Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Badala ya watwawala kwenda us,ulaya,india na uchina waende Bagladeshi,uvyetnam na Thailamd
 
Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Utavisimamia wewe? Mbona vilikuwepo na pamba ipo lakini CCM ikaviua kwa kusudi mpaka hivi sasa hatuna viwanda vya nguo, ila imefanikiwa kuzalisha chawa wengi.
Tabora ilikuwa na kiwanda cha nyuzi(spinning), Musoma(Mutex), Mwanza(Mwatex), Morogoro, Tanga(Gossege) na Dar Kilitex, Sunguratex na Urafikitex, vyote hivyo viliuawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…