Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #61
Asilimia kubwa ya nguo mpya ukienda kariakoo zinatoka chinaHujui kama chief hangaya ameingia madarakani akakuta viwanda 52000, na kufikia mwaka huu amezindua kiwanda cha 30,000 yaan afu selasini, jumla Tanzania tuna viwanda afu semanini naimani viwanda vya nguo ni vingi sana
Still hatutaweza kushindana naye vitambaa vinatakiwa vitalise hapa hapa TanzaniaMchina alete vitambaa na asilete nguo
Siyo rahisi kuzalisha chini ya mtumba wa 1,000, 2,000. Kifupi si rahisi kushindana bei na kitu chochote used.Ukizalisha nafuu kuliko mitumba itakufa yenyewe
Kanuni za kuindustrialize kwa kiasi kikibwa ni zile zile duniani. Iwe Marekani au iwe Tz. Hakuna nchi ya viwanda imewahi endelea kwa mtindo huo. Kwanza unaanza kwa kulinda soko la ndani kwa kuzuia au kudiscourage import. Hapo watu wataona uhitaji wa kuzalisha ndani. Hao ndiyo unawawezesha.Marekani sio sawa na Tanzania
Kama nchi tupambane tuanzishe spinning za kutengeneza nyizi (yarn) tupambane gharama za uzalishaji ziwe ndogo zaidi ya China na baada ya hapo automatic watu hawatanunua China tena
Nguo za KTM Mbagala🤣. Baadaye watu wanavyoona uhitaji wanaanza kuwekeza kwenye ubora na kuongeza uzalishaji polepole. Na nguo mpya na viatu vipya kutoka China siyo tishio kwa viwanda vyetu. Mitumba ndiyo tishio kubwa.Ukikataza mtumba au nguo za kichina watu watavaa nini
Kiwanda pekee kikubwa na cha aina yake kilichokuwa kimafanya spinning mkoani Shinyanga kimefungwa miaka mitano iliyopita na wala serikali haijigusa. Ajira za vijana zimepotea, wakulima wa pamba wamepoteza soko.Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Ila ndiyo hivyo Tanzania tuna viwanda elfu 80 na zaidi, watu wazima hawaoni aibu hata kutamka huo ujinga. Niliwaza Tanzania tungekuwa na hivyo viwanda uchumi wetu kwa Africa kusingekuwa na mfanoeAsilimia kubwa ya nguo mpya ukienda kariakoo zinatoka china
Phase ya kwanza na ya pili haijafika hata hio 5B, then kirahisi tu utoe 5B kwenye nyuzi? Weka source Sgr ita tumia zaidi ya 20B usd.Reli ya umeme ni zaidi ya usd billion 5 na mpaka sahivi zitakua zinazidi 20 na bado haijaisha
Si Kweli kuna viwanda kibao vikubwa nchi hii kama Mutex, 21st century Morogoro, Nida Textiles Tabata, Arusha vipo kadhaa etcKiwanda pekee kikubwa na cha aina yake kilichokuwa kimafanya spinning mkoani Shinyanga kimefungwa miaka mitano iliyopita na wala serikali haijigusa. Ajira za vijana zimepotea, wakulima wa pamba wamepoteza soko.
Kuwa unafuatilia mambo usiwe unabisha biasha tuPhase ya kwanza na ya pili haijafika hata hio 5B, then kirahisi tu utoe 5B kwenye nyuzi? Weka source Sgr ita tumia zaidi ya 20B usd.
Hivyo viwanda haviweshi shindana na viwanda vya ChinaSi Kweli kuna viwanda kibao vikubwa nchi hii kama Mutex, 21st century Morogoro, Nida Textiles Tabata, Arusha vipo kadhaa etc
Metl na 21st century hapo Morogoro by far ndio kiwanda kikubwa kina process Mita milioni 100 kwa mwaka
View attachment 3292717
Link yako yenyewe haioneshi $20B usd, piga screenshot kwenye link uliyoweka hio figure.
Hivyo ni viwanda vya Pamba, vinauza mizigo yao yote kwa hizo product ambazo Pamba bado inalipa. na hio ndio capacity yetu maana viwanda vya ndani ni zaidi ya nusu ya pamba inayozalishwa inatumika.Hivyo viwanda haviweshi shindana na viwanda vya China
Nenda kariakoo uone wauzaji wa nguo wako bize kukomboa mizigo yao silent na cargo nyingine
Nguo nyingi zinatoka ChinaHivyo ni viwanda vya Pamba, vinauza mizigo yao yote kwa hizo product ambazo Pamba bado inalipa. na hio ndio capacity yetu maana viwanda vya ndani ni zaidi ya nusu ya pamba inayozalishwa inatumika.
Unaweza uka nitajia wapi pamba ya China imeteka soko la Kariakoo? Nasubiria hapa.
Na mimi nakupa Maeneo ambayo utapata bidhaa za hizo pamba zetu.
1. Minazi mmoja yote ile Soko la Kanga na Vitenge kampuni kama Nida na Metl ndio zimetawala pale
2. Kariakoo Mashuka ya Kimasai, Mashuka ya Shule, blanket za shule (za Cotton),
3. Mjini mtaa wa Libya kwa Khimji pale kuna official branch ya kile kiwanda cha Cotton Arusha
Wafanyabiashara Kkoo wengi wanafahamu ukiwa unauza bidhaa kama Nida ni kawaida Mzigo kuisha na ku subiria hadi mzigo mwengine utengenezwe, Demand ni kubwa kuliko Capacity.
China ana Advantage kwenye Bidhaa zinazo tumia Chuma tu kama hizo plastic za Polyester ila bidhaa za Asili KAMA cotton huwezi nunua China ukauza Tanzania, bidhaa zao ni Gharama zaidi.
Nasubiria hapa mfano wa Bidhaa za Cotton za China.
So umeshindwa kujibu swali langu? Sijakataa Kuna nguo nyingi za China ila ni polyester kitu ambacho Tanzania hatuna uwezo wa ku compete nao.Nguo nyingi zinatoka China
Kama kungekuwa na viwanda vingi vya nguo hata mitumba isingekuwepo
Usidanganye watu afrika inasafari ndefu acha kudanganya watu
Nguo zinatengenezwa na cotton sasa nguo nyingi zinatoka china alafu unasema China haiwezi kushinda na Tanzania kwenye cottonSo umeshindwa kujibu swali langu? Sijakataa Kuna nguo nyingi za China ila ni polyester kitu ambacho Tanzania hatuna uwezo wa ku compete nao.
Viwanda vyetu ni cotton, huwezi nunua Cotton China na ku compete na Tanzania.
Simple logic ila jitoe tu ufahamu.
Nguo gani ya cotton hapo kkoo inatoka China? Tatizo lako umejaa theory za makaratasi nenda field, kuanzia boxer, Suruali, mashati, Jezi, kanzu za waisilamu, Madera mengi etc ni polyester ama material yanayofanania, ukikuta yana cotton basi cotton 10 ama 20% inayobakia Polyester,Nguo zinatengenezwa na cotton sasa nguo nyingi zinatoka china alafu unasema China haiwezi kushinda na Tanzania kwenye cotton
Kwenye top 10 nchi zinazozalisha nguo Tanzania haipo hata kwenye kuzalisha cotton top 5 hatupo afrika
Hizo ulizotaja zinazalishwa on small scale haziwezi kuwa na faida zitakua na faida kwa nchi tu pale zitakapokuwa zinazalishwa on large scale
Hawatumii cotton sana sababu kuna mbadala wa polymer ambayo ni super cheap na cotton ni expensiveNguo gani ya cotton hapo kkoo inatoka China? Tatizo lako umejaa theory za makaratasi nenda field, kuanzia boxer, Suruali, mashati, Jezi, kanzu za waisilamu, Madera mengi etc ni polyester ama material yanayofanania, ukikuta yana cotton basi cotton 10 ama 20% inayobakia Polyester,
Nimekutajia kiwanda Kimoja tu cha 21st century kinazalisha mita milioni 100 za kitambaa ni small scale hio? Mita milioni 100 kama unashona fulana ama Tshirt si unavalisha Nchi nzima? Na kuna viwanda vingine tofauti na hivyo.
Lakini tunatumia cotton yetu kwa capacity zaidi ya nusu that's the point, tukiongeza Viwanda itabidi tununue cotton ya nje ambayo bei itapanda hence hatutakua competitive.Hawatumii cotton sana sababu kuna mbadala wa polymer ambayo ni super cheap na cotton ni expensive
Jana nilikuambia fabric za polymer zinazalishwa na petrochemical plant
Hata tukija nguo za Cotton hatupo hata top 10 kama wazalishaji wakubwa
Kama kungekua na viwanda vya nguo watu wasingekimbilia mitumba karume au karikoo ronya kutoka nje ya nchi
Wewe ni mzalishaji mkubwa wa nguo ilihali wanachi wako wanapigania mitumba karume na watu wako bize kukomboa mizigo yao silent kutoka china toka usingizini