Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

I

I believe Bro.
Turudi kwenye mfuko wa fedha za Yesu ulikuwa unatunzwa na kijana wa mzee Iskariyote...

Pesa alizokuwa anazitunza aliItoalea wapi. Au zilitoka Mbinguni automatically
Nadhani ni michango ya waumini desturi ambayo hata kina paul, Petro, barnaba na wengine waliuendeleza
 
Mkuu wale manasara 12 walianza kuvua baada ya Yesu kufa. Walipokuwa na Yesu sijaona andiko wanavua. Walivua kabla na baada.

Kila alikuwa nao began kwa bega
Unataka kusema wale samaki waliopatikana kwa muujiza walipelekwa sokoni kuuzwa ili mwana wa Adam na wanafunzi wake wapate pesa...?
 
Unajua thamani ya nguo ya mtu maarufu...?, Angalia mechi yoyote kubwa halafu mchezaji kama Messi atupe jezi yake ile yenye jasho uone watu wanavyotaka kuraruana, wale mapai walijua hata kipande cha ile kanzu kingeuzwa bei mbaya, Yesu alikua tajiri asee...
 
Hii version mpya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh.
I wish Jf ingekuwa na sehemu ya voice.

Mbona maandiko yapo wazi hapo kabisa??

Hebu Soma Tena na tena.. uhitaji kutumia rocket science kuelewa.

Maana yapo wazi mnoo


Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app

Mkuu kwa hiyo watu waliotenda makosa kipindi cha Nuhu walipata second chance ya kuokolewa? Vipi kuhusu wale wa sodoma na gomora nao walipata second chance?

Ukisoma mstari wa 21
1 Petro : 3 : 21 - Mfano wa mambo hayo ni ubatizo, unaowaokoa ninyi pia siku hizi; (siyo kuwekea mbali uchafu wa mwili, bali jibu la dhamiri safi mbele za Mungu), kwa kufufuka kwake Yesu Kristo.

Petro anasisitiza mfano wa mambo hayo ni ubatizo.
 
Unataka kusema wale samaki waliopatikana kwa muujiza walipelekwa sokoni kuuzwa ili mwana wa

Walikuwa kiporo kesho yake, au wakawapa na wanaowafuata.

Huu utaratibu hata sisi tunao majumbani. Ukipika wali unaobaki hauutupi. Unauchemsha kesho yake unakula.

Hii technique ya serving tumeitoa kwa Yesu.

Yesu alikuwa mchumi sana. Na kuna matajiri hawataingia Mbinguni maana wanafikiri Pesa ni kufuja.


Hata kwenye makampuni control ya financial leakages (Cost control techniques ni muhimu sana).


Yesu alikuwa na package yote. Sio wa mchezo kabisa bro.
 
Kabisa alikuwa Tajiri hasa alikuwa havai matambara au midabwada ya kimaskini au mitumba
 
Ukiona mtu anazungumzia mambo ya kidini bila kunukuu vifungu ujue ni porojo au hisia zake binafsi na uelewa wake binafsi na sio wa kidini...Kuna watu wanapenda tu wajulikane kwa hivyo kuwa wajuzi wa dini ilihali sivyo japo wanaweza kuwashawishi baadhi.Ukiangalia mtoa mada ndio taipu hiyo ni kutaka tu kuona wengine wanajua nini na kubishana.
 
🤣Waliomuelewa wanashusha vifungu tu.
Sijui ajulikane na nani sasa?
 
Hahahhaah
Mkuu naomba mstari Yesu amenukuu kifungu au MTU yoyote kwa kwe biblia amenukuu kusema .... 3:4.

Hizo ni mbwembwe za kisasa.
Hata Yesu alikuwa anafanya kama Mimi. Anayasema tu, akijipngeza kidogo anasema Musa ameandika bila hasemi ni Kutoka,Hesabu,Walawi,Torati,Mwanzo ,Ayubu au Zaburi zilizoandikwa na Musa.

Sio ubishi Mkuu na wewe chukua hii itakufanya urelax sana mbadala ya kukariri manamba mengi chukua neno liapply.


Karibu, tumuabudu Mungu katika mjadala huu kwa kumsema vizuri Yesu aliyekuwa na Pesa nyingi na mwenye vyote sio yule masikini na mchovu wa kwenye movie.
 
🤣🤣🤣 Damen!!.
 
Unaanza kumchunguza M/Mungu sasa.. shauri yako
 
Unaanza kumchunguza M/Mungu sasa.. shauri yako
Unaanza kumchunguza M/Mungu sasa.. shauri yako
Hajakataza Mkuu.
Uzima wa milele ni Kujua Mungu na Yesu aliyemtuma.
Tusipomjua hatuwezi kwenda peponi.

Sasa hapa tu nataka kujua kidogo katika dimension ya uchumi tu.

Tuko vzr na tuko sahihi mkuu
 
Logically tukitaka kufuata logic ya Bible kama aliweza kubadilisha mkate na kuwa mikate basi alikuwa haitaji kipato...

Ila tukifuata logic hio hio kulikuwa hakuna sababu ya kuchukua muda na kuwaconvince watu ili wamuelewe angeweza tu aka-download knowledge kwenye vichwa vya binadamu wakajua mema na mabaya..., could have saved a lot of time
 
Daa
 
Mbn unamzingizia yesu uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…