Hakukuwa na mawasiliano kivipi ilhali huko kote Yesu alikuwa akipita kufundisha. Walijuana naye wakati uleule anafundisha na ufadhili ulianzia hapo. Kumbuka ni Yesu si mtu kama wewe na mimi. Kama mwingine alivyochangia huko juu, vyote ni vyake. Na hakuna kinachoshindikana kwake Yeremia 32: 27; Marko 10:27 na Luka 18:27.Mkuu Bethania iko mkoa waYuda.
Kana iko mkoa wa Galilaya.
Hakukuwa na mawasiliano.
Wanaweza kuwa matajiri lakini kusponsor mambo ya Kana ni issue.
Hapa kuwa na uhusiano.
Anhaa, shukrani!Yesu-mnazareth, Nazareth ni sehemu alikotoka. Simioni-mkanaani, simoni aliyetokea kanaani(mwanafunzi wa Yesu) Joseph-Alimataya, alimataya sehemu alikotokea(huyu tajiri aliyetoa kaburi lake Yesu kazikwa). Mriamu huyu alitokea Magdalena sehemu pia.
29 vipi wakati watu wote wanasema 30 then baada ya mahubiri ya miaka3 wakamuua?Yesu alianza kuhubiri na miaka 29. Miaka yote huko nyuma alikuwa akipiga useremala.
poteto potato29 vipi wakati watu wote wanasema 30 then baada ya mahubiri ya miaka3 wakamuua?
Naunga Mkono hoja.Hata mazishi yake alizikwa na Tajiri Bilionea Yusuf wa Alimataya kwenye kaburi la matajiri.Hakuzikwa na malofa
mafuta tu ya kujipaka Yesu alikuwa akijipaka ya bei mbaya hadi Yuda Iskariote alashangaa, maria magdalena alipokuwa akimpaka yale mafuta akasema mafuta ghali haya Yesu unapaka loo.Yesu akamwambia mwache anipake wewe yuda iskariote kama umezoea kujipaka mafuta ya nazi utajijua akaendelea kujipaka
Hahaaa! Basi yesu hakua na chanzo cha mapato physically,alikua nacho cha kiimani.Akihitaji kitu anatoa amri tu kwa power aliyo kua nayo kinatokeaPale sio kana Mkuu pale ni porini jamaa walimuata. Sio kwamba hakuwa na Pesa sema hakukuwa na maduka ya kununua maana ilikuwa ni porini.
Ila licha ya kuwa na Pesa nyingi, alikuwa mchumi sana sio mfujaji.
Aliwaambia wanafunzi waokote mabaki waondoke nayo. Sio Leo MTU akiwa na Pesa tu jalala linajaa mapaja ya Kuku yaliyolambwa yamebaki na minofu.
Wale wasafi wanatakiwa kunisikiliza mimi, huwa nasikiliza documentary zao naona zinachanganya uongo na ukweli.Kwanza hiz fact zako according to nin maana nilichoona hapa umesikiliza kipindi cha wasafi kile na umechukulia sahihi ukaona Yesu alikuwa msela tu bro jaribu kukua mkubwa
Hahaaa! Basi yesu hakua na chanzo cha mapato physically,alikua nacho cha kiimani.Akihitaji kitu anatoa amri tu kwa power aliyo kua nayo kinatokea
Hahaaa! Basi yesu hakua na chanzo cha mapato physically,alikua nacho cha kiimani.Akihitaji kitu anatoa amri tu kwa power aliyo kua nayo kinatokea
Hahaha lakini alikuwa na mfuko physical sio spiritual wa kutunzia mapesa mbalimbali.Hahaaa! Basi yesu hakua na chanzo cha mapato physically,alikua nacho cha kiimani.Akihitaji kitu anatoa amri tu kwa power aliyo kua nayo kinatokea
Yule bwana alikua so special ni ngumu kuelezea
Zaidi ya complex ndio maana huwa nashangaa anapofananishwa na Vijana wa 'kiarabu',kihinndu,kichina na wakina mwanamalundi.Yule bwana alikua so special ni ngumu kuelezea
Wafuasi ywa Yesu tajiri wanajiamini, majasiri, hawana hofuhofu na hawapelekeshwi hovyo.Makanisa ya Kikristo yamegawanyika sehemu mbili kuu
Ya kwanza ni yale yanayomfuata Yesu Maskini kwa sababu huamini Yesu alikuwa maskini na kuna yale yanayomfuata Yesu Tajiri sababu yanaamini Yesu alikuwa Tajiri na Tajiri yule alikuja kwa lengo moja kuwahubiria maskini habari njema.Habari nje kwa maskini ni kuondokana na umaskini si vinginevyo!!! Maskini ukimwambia Yesu alikuwa Maskini kwa hiyo amfuate maskini mwenzie hawezi kukubali kama kichwani akili zimo.Binafsi namfuata Yesu sababu ni Tajiri.Mimi mfuasi wa Tajiri Yesu
Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru walioset
Waanzilishi wa hizi nadharia huwa awafanikiwi kushawishi watu sijui kwa nini Mkuu.Habari za uwepo za yesu ni za kusadikika,hamna hata mmoja anaye weza kuzithibitisha.Hivyo,hata swali lako limejengwa katika hoja za kusadikia,hata majibu ya wadau yatakiwa ya kusadikia pia na hata ukijitahidi miaka na miaka huta pata uthibitisho so kwa nini unajisumbua kwa mambo ya kusadikia??.
HahahahYesu ndo kaanzisha tabia ya watu kuwa na makundi mtaani maana hata yeye alikua anatembea na makundi yake wanaweka kijiwe wanapiga stori