Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Aliyekua anachukua video kwenye tv yake alikua kawasha na flashlight.

Ndiyo hiyo inatoa reflection ambayo baadhi ya watu wanadai ni radi. Which means ni uongo hakukua na radi.

Kuhusu moshi. Alikua anahutubia akiwa kwenye gari. Siyo jambo la ajabu gari kumalfunction na kuvuja moshi. Pengine ndiyo kilichotokea. Ila hii assumption nina asilimia nayo chache.

Ya hicho kimweku kinachodaiwa ni radi ninaamini ni flash ya simu kwa asilimia mia.

Mtu wa hivi hua hafi kama watu wanavyotaka.
 
Af hiyo radi Mnaona ni kioo cha kwenye tv [emoji342] kimepasuka na recording angle ilibadilka
 
Kuna kipindi rafiki yangu mmoja alienda ruangwa ,,, kwa kusikia stori za huko, alivyo fika tu, kila akikutana na mtu anamuamkia shikamoo ,, akipita mahali wazee wamekaa, anaenda ananyenyekea na kuwapa shikamoo, [emoji2][emoji1]
 
Jamaa inabidi aombe watu msamaha kama vile yeye anavyopenda kuombwa msamaha,huwezi umiza watu halafu wewe ukabaki salama,hilo ni onyo watu hawataki kushika mitutu ya bunduki ila wana uwezo wa kutumia ndumba
Nalog off
 

Angalia vizuri ni kioo kimepasuka cha tv
Af fananisha angle ya mrekodi video before na after Imechangee Ndio ikaonesha like radi.
 
Tatizo hua hachagui cha kuongea, ishasemwa sanaa kua ajifunze kudhibiti mdomo wake.

Hata kama anania njema kiasi gani na nchi hii, ila swala la kuchunga kauli zake haliepukikii
Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi
 
Angalia vizuri ni kioo kimepasuka cha tv
Af fananisha angle ya mrekodi video before na after Imechangee Ndio ikaonesha like radi.

Ooh kumbe
Inawezekana kioo kimepasuka maana kuna sauti kabla ya moshi huo
Asante kwa kutufungua hapo
 
Ukiwatukana, kuua, kushambulia kwa risasi, kufukuza kazi watu ovyo.

Tegemea outcome kama izi malipo ni hapahapa duniani tusiwe wanafiki jamaa ameumiza watu sana kuliko mambo aliyoyafanya.
Unakumbuka nyumba za kimara waliovunjiwa ? Wajane, akina bibi, akina babu, akina mama ...
 
Halafu kwenye hiyo video naona kuna kitu kimewaka kama nyota kwa muda fulani halafu baada ya moshi kwisha nacho kikatoweka au kikazima. Halafu kabla ya moshi kylisikika mlio wa kama jiko la stove likiwashwa au gas/upepo ukivuja
JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
 
Watu mnajua sana kuunganisha matukio, kwani wa uwazi na ukweli alikuwambia hivyo?
 
MTOA HABARI WWENU KIGOGO HAJAWAAMBIA KILICHOMPATA NA ALIKO RAIS UNAULIZA NANI AWAAMBIE NA HTA AKIKWAMBIA WEWE NDIY UTAKUWA WA KWANZA KUSEMA TAARIFA ZA UONGO NA ZA KUPIKWA
Hatutishiki ng'o
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica

Ww ndio umeongea jambo la maana, upendo na kupendana ndio silaha ya ubaya.
 
Watu mnajua sana kuunganisha matukio, kwani wa uwazi na ukweli alikuwambia hivyo?

Katika Lugha adhimu ya Kiswahili huwa hatuna neno la ' alikuwambia ' kama uliloliandika hapa bali tuna neno sahihi la ' alikuambia ' sawa? Jiimarishe Kwanza katika kuijua vyema Lugha ya Kiswahili na ukiona umeshaijua basi unaweza ukarudi tena Kwangu An Eagle a.k.a BRAINIAC ili niweze sasa kukujibu hayo Maswali yako ya Kitoto kama siyo ya Kipuuzi uliyouliza.
 
wakatoliki huimba:

uzio wa umeme
mlinzi wa kimasai
mbwa mkali...


makangamba hao.

akiba ya maneno ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…