Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Hii video imerekodiwa na simu kutoka kwny TV, ukiangalia hapo hyo channel inaitwa JWEE info.

J WEE INFO ni online youtube TV kma MillardAyo but nimeenda kucheck Youtube channel hii video nimetafuta sijaiona.

So its either its video ime-editiwa au video its a true video iliwekwa then ikafutwa haraka before haijasambaa kuzuia taharuki.

Bado maswali ni mengi, majibu hakuna. Kuna jambo kubwa.
 
Mbona jana kafanya kazi ya uteuzi vizuri tu.
 
Huo ni mchezo uliopangwa ukapangika, wazee wa ruangwa wanasingiziwa tuu
 
Ana kundi kubwa la walinzi ambao hawana utaalam na malimwengu...
Tupo tuliojitolea kusambaratisha hao wote ambao wana nguvu zisizoonekana...Kama aliweza kukalia kiti hicho, msahau kabisa kwa yeye kufanyiwa jambo lolote baya na ulimwengu huo nao udharau na kuukinai kuliko dekio la chooni...Get it very right...None shall ever go against the God's mighty power!

Tanzania njema is a must prpject!
 


Muombee akipona aache matusi na dharau
 
Amani na Upendo sio kuandika hukumu ya kifo kwa mpinzani wako wa kisiasa au anayetokukosoa, upendo na amani sio kuwabakikia kesi wapinzani wako wala kuwaziba midomo wasinene au kuwatukana
Museven alionya juzi kati kuhusu "extra judicial killings" zinazofanywa na baadhi ya watawala/ viongozi. Alisema kichwa cha mwanadamu kikikatwa hakichipuwi. So siyo vizuri kuua opponent (s) wako.
 
Mkuu huenda huo mwanga ni flash ya camera aliekuwa anarecod iyo video
 
Huo moshi sijui[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hao jamaa wanataka kumrestisha Jembe letu wale kichapooo[emoji35][emoji35][emoji35]
Waanze na moshi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…