HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwani unadhani hawajaanza kazi hadi sasa?Watu wa kusini ni korosho tuu au mna lenu? Wasukuma ingieni kazini mzee anataka kuondoshwa huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unadhani hawajaanza kazi hadi sasa?Watu wa kusini ni korosho tuu au mna lenu? Wasukuma ingieni kazini mzee anataka kuondoshwa huku.
Uchawi unaonekana?Kaka Angalia video ule ni uchawi,
Dah! Kumbe hawajasahau?
hawasahau kitu waleKwenye msafara wa Rais ushawahi ona hata kuku anajipitisha? Sasa nani kawasha au kasababisha huo moshi?
mkut, hiyo sauti ni ya mkulu au aliyekuwa anarecord?".....Ruangwa mmeanza mpaka mnaleta na Moshi"
Uchawi unaonekana?
Tupo tuliojitolea kusambaratisha hao wote ambao wana nguvu zisizoonekana...Kama aliweza kukalia kiti hicho, msahau kabisa kwa yeye kufanyiwa jambo lolote baya na ulimwengu huo nao udharau na kuukinai kuliko dekio la chooni...Get it very right...None shall ever go against the God's mighty power!Ana kundi kubwa la walinzi ambao hawana utaalam na malimwengu...
Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Museven alionya juzi kati kuhusu "extra judicial killings" zinazofanywa na baadhi ya watawala/ viongozi. Alisema kichwa cha mwanadamu kikikatwa hakichipuwi. So siyo vizuri kuua opponent (s) wako.Amani na Upendo sio kuandika hukumu ya kifo kwa mpinzani wako wa kisiasa au anayetokukosoa, upendo na amani sio kuwabakikia kesi wapinzani wako wala kuwaziba midomo wasinene au kuwatukana
Mkuu huenda huo mwanga ni flash ya camera aliekuwa anarecod iyo videoMpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
Atapona na ataishi ktk jina la Yesu,Kwa sisi wanalindi huo uchawi ni mbaya sana sijui kama atapona
Waanze na moshi wenyeweHuo moshi sijui[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hao jamaa wanataka kumrestisha Jembe letu wale kichapooo[emoji35][emoji35][emoji35]
Hakukatisha speech walisogeza gari mbele akaendelea
Na huo moshi vipi mkuuMkuu huenda huo mwanga ni flash ya camera aliekuwa anarecod iyo video