Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Haiwezi kuwa miale ya jua, wala nyota, wala reflection ya jua, kwasababu inamove na camera. Hata camera ilipogeuzwa, huo mwanga ulikuwa at the same position

Hii video imerekodiwa na simu ikiwa inaplay kwenye TV. The quickest possible explanation ni kuwa kuna mtu mmojawapo aliyekuwa anaangalia hiyo TV aliwasha flash ya siimu probably for recording, kisha reflection ya hiyo flaash ndio inayoonekana kwenye video hii. Labda utuonyeshe origina recording (sio hii recording of a recording) tuone kama hiyo artifact ipo. Otherwise, huo mwanga has nothing to do na huo moshi


Probably you, or you could be the best lawyer
 
Tatizo la kila kitu na huu uvumi na yeye kutoonekana hadharani kwa masaa 48 lilianzia pale , wananchi wana haki ya kujua ni kitu gani pale kilitoa mlio na kufuatiwa na moshi uliom suffocate ....
Je ni "uchawi" kaama kisingizio au well calculated smuggled tear gas kwenye gari yake ....simply kwakuwa yeye tayari ana matatizo ya kifua imekua rahisi kumfanya aka faint
Baada ya masaa 48 'alijitokeza' jumapili akionekana mchovu , na baada ya hapo hadi leo haijulikani anafanya nini na yuko wapi ..sio kawaida yake kutokana na uchapa kazi wake ....
 
Hakuna cha uchawi hapo. Duniani sijawahi kusikia Rais wa Nchi amerogwa. Anayebisha alete mfano hapa.
ni ngumu kupata mfano maana mambo ya nguvu giza kama wwe si mwanachama huwezi jua
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Yeye anahubiri,chuki,ukatili,manyanyaso,mauaji etc kwahiyo ubaya hulipwa ubaya
 
Wazee wa Ruangwa walimua-underestimate mzee wakampa doze ya mtoto wa shule.
 
Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.

Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.

Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Kwa hakili zako raisi anamaudui wa kolosho tu usikute hata wewe na ukoo wako nimmaadui ni Mungu tu ndo atamlinda hata akimalizana na hao wengine watatokea
 
Back
Top Bottom