Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Huki kusini walizuia nomba la gas kusukuma gas kwenda Dar . Wazungu kila wakicheki mitambo wanao iko sawa wakamaliza check up zote hamna kitu.
Mpaka wakaambiwa ongeeni na wazee wa huko ndipo Wakapelekwa kwa bibi mmoja wakakubali masharti akafungulia kama mchezo
 
Wanabodi,

Wote bado tunajiuliza ni nini kilitokea. Swali ambalo nimekosa jibu lake ni kwamba ina maana yule bwana mkubwa hakujua kuwa gari lake lina uwezo wa kutoa moshi pale inapohitajika? Inawezekana kweli asijue? Na kama alijua kwa nini pale kwenye mkutano aliwalaumu wahudhuriaji kwa kuleta ule moshi? Hebu tujadili.

Asanteni.
 
Inawezekana anajua hivo amesema ili kupoteza wadadisi,mfumo uendelee kuwa siri lawama watupiwe wana Ruangwa. Sitaki kuamini kama ingekuwa ni radi ikazuiliwa na nguvu zake za asili alizofanyiwa angeendelea kutoa hotuba baadae. Lakini vipi mbona walinzi walionekana kubadili mabegi? Na kilichowafanya wasogeze magari ni nini
 
Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.

Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.

Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Tuna matatizo mengi... wako wanaoihubiri amani huku wakinoa mapanga! Wako wanaouimba upendo huku wakianika chuki toka moyoni!!! Wako wanaohimiza umoja huku wakijitenganisha na wanaowahubiria...
 
Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.

Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.

Hiyo nyota ni lens reflection ya camera

Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
 
Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi
Rais mwenye maneno ya ovyo kama haya, halafu watu wakimuombea kifo, wengine wanashangaa?

Mimi sitetei mtu kuombewa kifo, nachambua sababu za mtu kuombeea kifo.
 
Teknolojia ya ulinzi wa mtu maarufu VIP

Smoke screen testing

Nilisita kuweka comment yangu

Lakini hii yote ni mchezo wa kuigiza

1.Kama wewe ni video analyser on spot dakika ya 4.08 ilipiwasha hii smoke screen rais aligeuka kuangalia chini baada ya sekunde 3 moshi ulikuwa umepanda juu ndio rais anasema wanaRugwa wameleta moshi wakati unatoka kwenye gari

2. The sound from the video baada ya kuwashwa smoke screen, as video analyser sound inatoka karibu na Rais, kwahiyo hii sound inatoka kwenye gari na rais alijua kinachoendelea.

Je kwanini button iliwashwa

1. Security organ Tiss walikuwa wanafanya testing ikitokea kitu as Mr President anapenda kutoa hotuba tokea kwenye gari lake, hii ni kwa ajili ya usalama wake kwa baadae

2. Tiss walikuwa wanasafisha na kutaka kudetect informer wanalikisha secret information za Nyumba nyeupe. Kwahiyo hizo information zote kwenda kwa kigogo2014 zilikuwa zinatoka kwa wenyewe. Lengo ni kukata milija ya kigogo

From now on Kigogo2014 will be no longer

Hii video haina mambo ya uchawi
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Hao uliowataja ni binadam, hapa tunamuongelea kiongozi wa Malaika, Mzee Meko ambao Lumumba wanaamini ni "mungu"!
 
Nilisita kuweka comment yangu

Lakini hii yote ni mchezo wa kuigiza

1.Kama wewe ni video analyser on spot dakika ya 4.08 ilipiwasha hii smoke screen rais aligeuka kuangalia chini baada ya sekunde 3 moshi ulikuwa umepanda juu ndio rais anasema wanaRugwa wameleta moshi wakati unatoka kwenye gari

2. The sound from the video baada ya kuwashwa smoke screen, as video analyser sound inatoka karibu na Rais, kwahiyo hii sound inatoka kwenye gari na rais alijua kinachoendelea.

Je kwanini button iliwashwa

1. Security organ Tiss walikuwa wanafanya testing ikitokea kitu as Mr President anapenda kutoa hotuba tokea kwenye gari lake, hii ni kwa ajili ya usalama wake kwa baadae

2. Tiss walikuwa wanasafisha na kutaka kudetect informer wanalikisha secret information za Nyumba nyeupe. Kwahiyo hizo information zote kwenda kwa kigogo2014 zilikuwa zinatoka kwa wenyewe. Lengo ni kukata milija ya kigogo

From now on Kigogo2014 will be no longer

Hii video haina mambo ya uchawi
Sawa kabisa,lakini hii ni mara ya ngapi taifa linapata watu wa aina hii miaka hii?Ilikuwa akina Mtikila,dr Slaa enzi zile,wakaja akina Mange,now ni Kigogo,je kesho yetu itakuwaje?wale majukwaani,yule insta,huyu twitter,who knows atakayekuja kesho against the government atatumia mbinu gani?Sasa kwanini watu wanazidi kuwa negative na serikali huku serikali ikijinasibu kuwatendea mema raia wake?Tujijibu wenyewe.Lipo tatizo linasababisha haya yote.Kuna kundi kubwa la watu ambao wanaona wananyimwa fursa za kushiriki ulaji wa keki ya taifa.Wananyimwa haki,wananyimwa uhuru,etc.Lipo kichwani hili tatizo.Wenye kazi ya kuliunganisha taifa hawaifanyi ipasavyo.Hii itawacost wasipoangalia.Ulinzi wa taifa upo vichwani mwa watu wake wote katika umoja wao,na sio bunduki wanazomiliki wachache wao,na magari yenye uwezo wa kudhibiti sijui moshi,sijui nini!Nguvu za kijeshi zinakuwa effective kiusalama kwa adui wa nje kuliko wa ndani.Tusiwageuze baadhi ya watz wenzetu kuwa maadui,itatugharimu mno.Nimestuka kumsoma kigogo leo kule twita,kuwa kumbe sababu ya yeye kumchukia Rais ni kubomolewa nyumba yake Kimara Suka.Mwanzo nilihisi kigogo ni mtu wa system anatumika kudivert attention yetu,nikajua failure yake ya jana ndio mwisho wake,lakini kumuona hadi sasa bado anaandika anayoandika kule twita inanifikirisha vingine!ni muathirika!kajeruhiwa!Huyu mtu kalitia taifa taharuki hivi!chuki yake bado ipo pale pale!Je wangapi waliojeruhiwa na matendo ya serikali wapo kimya wenye maumivu makali na ujasiri na mbinu zaidi yake ambao tusipobadili gia wanakuja siku zijazo (kutoka ndani ya system hiyo hiyo) kututikisa vibaya zaidi?na saa hizi wanazisoma "ndimu" na "ujasiri" wa "mwenzao" kigogo?!tutafakari!Kama tusipobadili gia,basi ipo siku hata hao wanaotumika "kumkatia mirija" kigogo,ndio watageuka akina kigogo wa kesho!watch out!tatizo bado lipo!
 
Nilisita kuweka comment yangu kuhusu hii conspiracy

Lakini hii yote ni mchezo wa kuigiza

1.Kama wewe ni video analyser on spot dakika ya 4.08 ilipiwasha hii smoke screen rais aligeuka kuangalia chini baada ya sekunde 3 moshi ulikuwa umepanda juu ndio rais anasema wanaRuagwa wameleta moshi wakati unatoka kwenye gari

2. The sound from the video baada ya kuwashwa smoke screen, as video analyser sound inatoka karibu na Rais, kwahiyo hii sound inatoka kwenye gari ya rais na rais alijua kinachoendelea.

Je kwanini button iliwashwa

1. Security organ Tiss walikuwa wanafanya testing ikitokea kitu as Mr President anapenda kutoa hotuba tokea kwenye gari lake, hii ni kwa ajili ya usalama wake kwa baadae

2. Tiss walikuwa wanasafisha na kutaka kudetect informer wanalikisha secret information za Nyumba nyeupe. Kwahiyo hizo information zote kwenda kwa kigogo2014 zilikuwa zinatoka kwa wenyewe. Lengo ni kukata milija ya kigogo

From now on Kigogo2014 will be no longer

Hii video haina mambo ya uchawi

Hapa aligeuka kuangalia ule moshi arafu kapotezea kama sekunde hivi arafu kawasema watu wa ruagwa
IMG_20191021_144115.jpg
 
Back
Top Bottom