Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona usemi kazurumu?Hii video nimecheka sana sasa watu wanaletewa maendeleo wao wanaenda kumloga jamani ndio mana lindi na mtwara hakuendelei
Hebu nipe habari ya wazee hao 900 [emoji2][emoji23]Je inawezekana wazee wa Ruangwa wamefanya mambo yao makubwa kuliko wale wachawi 900 wa Gamboshi?
So huo moshi umetoka wapi mkuu.Ni mchezo wa photoshopping au wazee wa Ruangwa wana beef na Comrade Magufuli.Ngoja tusubiri.siamini katika vodoo!
Kweli?Time will tell.Huo Moshi usishangae Ni sensor ya kiusalama ya KU m alert tu kuwa Kuna hatari.Sio big issue au amalize hotuba awahi haraka sehemu ingine Kuna issue urgent
Wamezurumiwa na AMCOS na tayari hao viongozi waliopiga hizo hela saizi wanazitapikaMbona usemi kazurumu?
Inawezekana anajua hivo amesema ili kupoteza wadadisi,mfumo uendelee kuwa siri lawama watupiwe wana Ruangwa. Sitaki kuamini kama ingekuwa ni radi ikazuiliwa na nguvu zake za asili alizofanyiwa angeendelea kutoa hotuba baadae. Lakini vipi mbona walinzi walionekana kubadili mabegi? Na kilichowafanya wasogeze magari ni niniWanabodi,
Wote bado tunajiuliza ni nini kilitokea. Swali ambalo nimekosa jibu lake ni kwamba ina maana yule bwana mkubwa hakujua kuwa gari lake lina uwezo wa kutoa moshi pale inapohitajika? Inawezekana kweli asijue? Na kama alijua kwa nini pale kwenye mkutano aliwalaumu wahudhuriaji kwa kuleta ule moshi? Hebu tujadili.
Asanteni.
Tuna matatizo mengi... wako wanaoihubiri amani huku wakinoa mapanga! Wako wanaouimba upendo huku wakianika chuki toka moyoni!!! Wako wanaohimiza umoja huku wakijitenganisha na wanaowahubiria...Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Hiyo nyota ni lens reflection ya camera
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Rais mwenye maneno ya ovyo kama haya, halafu watu wakimuombea kifo, wengine wanashangaa?Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi
Nyama za umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani we mwandiko wako unawezaga kuusoma mwenyewe
Teknolojia ya ulinzi wa mtu maarufu VIP
Smoke screen testing
Hao uliowataja ni binadam, hapa tunamuongelea kiongozi wa Malaika, Mzee Meko ambao Lumumba wanaamini ni "mungu"!Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Sawa kabisa,lakini hii ni mara ya ngapi taifa linapata watu wa aina hii miaka hii?Ilikuwa akina Mtikila,dr Slaa enzi zile,wakaja akina Mange,now ni Kigogo,je kesho yetu itakuwaje?wale majukwaani,yule insta,huyu twitter,who knows atakayekuja kesho against the government atatumia mbinu gani?Sasa kwanini watu wanazidi kuwa negative na serikali huku serikali ikijinasibu kuwatendea mema raia wake?Tujijibu wenyewe.Lipo tatizo linasababisha haya yote.Kuna kundi kubwa la watu ambao wanaona wananyimwa fursa za kushiriki ulaji wa keki ya taifa.Wananyimwa haki,wananyimwa uhuru,etc.Lipo kichwani hili tatizo.Wenye kazi ya kuliunganisha taifa hawaifanyi ipasavyo.Hii itawacost wasipoangalia.Ulinzi wa taifa upo vichwani mwa watu wake wote katika umoja wao,na sio bunduki wanazomiliki wachache wao,na magari yenye uwezo wa kudhibiti sijui moshi,sijui nini!Nguvu za kijeshi zinakuwa effective kiusalama kwa adui wa nje kuliko wa ndani.Tusiwageuze baadhi ya watz wenzetu kuwa maadui,itatugharimu mno.Nimestuka kumsoma kigogo leo kule twita,kuwa kumbe sababu ya yeye kumchukia Rais ni kubomolewa nyumba yake Kimara Suka.Mwanzo nilihisi kigogo ni mtu wa system anatumika kudivert attention yetu,nikajua failure yake ya jana ndio mwisho wake,lakini kumuona hadi sasa bado anaandika anayoandika kule twita inanifikirisha vingine!ni muathirika!kajeruhiwa!Huyu mtu kalitia taifa taharuki hivi!chuki yake bado ipo pale pale!Je wangapi waliojeruhiwa na matendo ya serikali wapo kimya wenye maumivu makali na ujasiri na mbinu zaidi yake ambao tusipobadili gia wanakuja siku zijazo (kutoka ndani ya system hiyo hiyo) kututikisa vibaya zaidi?na saa hizi wanazisoma "ndimu" na "ujasiri" wa "mwenzao" kigogo?!tutafakari!Kama tusipobadili gia,basi ipo siku hata hao wanaotumika "kumkatia mirija" kigogo,ndio watageuka akina kigogo wa kesho!watch out!tatizo bado lipo!Nilisita kuweka comment yangu
Lakini hii yote ni mchezo wa kuigiza
1.Kama wewe ni video analyser on spot dakika ya 4.08 ilipiwasha hii smoke screen rais aligeuka kuangalia chini baada ya sekunde 3 moshi ulikuwa umepanda juu ndio rais anasema wanaRugwa wameleta moshi wakati unatoka kwenye gari
2. The sound from the video baada ya kuwashwa smoke screen, as video analyser sound inatoka karibu na Rais, kwahiyo hii sound inatoka kwenye gari na rais alijua kinachoendelea.
Je kwanini button iliwashwa
1. Security organ Tiss walikuwa wanafanya testing ikitokea kitu as Mr President anapenda kutoa hotuba tokea kwenye gari lake, hii ni kwa ajili ya usalama wake kwa baadae
2. Tiss walikuwa wanasafisha na kutaka kudetect informer wanalikisha secret information za Nyumba nyeupe. Kwahiyo hizo information zote kwenda kwa kigogo2014 zilikuwa zinatoka kwa wenyewe. Lengo ni kukata milija ya kigogo
From now on Kigogo2014 will be no longer
Hii video haina mambo ya uchawi