Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Ushauri mzuri lakini waache kuwatimua viongozi mikutanoni kwa kuwafukizia Moshi mzito kama wanavyofanya kuuwa wadudu waharibifu wa korosho.
 
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?
umewahi kusikia watu wanalalamika nyerere alikuwa anaongea sana japo alishiriki kusababisha economic recession 1980s. uliwahi kusikia?
 
Vilevile niwatake wazee wa nchi nzima kila anakopita wampe dozi kama za Mashangazi ili awe na adabu, tumchague, tumpe madaraka halafu atutukane, atutishe, atukebehi, ajimwambafai, wazee mwonyesheni kazi kuunga mkono juhudi za Mashangazi.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ we mnyalukolo acha ujinga.
 
Wanakuwa wame miss matusi, kebehi, dharau,majigambo na kujimwambafy. Ila sio kuwa wanampenda la hasha.
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?
 
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?
Kwani rais hawezi kuonekana bila kutukana?
 
Ulienda shule lakini hujaelimika, pole sana
 
Onyo alilopewa naona sasa kanyooka hata hutuba anasoma
 
Huo mwanga ni flash ya aliekua akirecord hio video toka kwenye TV
 
Haya
Naona Mmeanza Kuleta Moshi Hapa
Hii Ni Kazi Ya Ruangwa!!πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mungu ana mengi, yetu machache sana na eti tunayaona ni mengi na muda hautoshi. Hatuna muda mwingi ni bora tukautumia muda huu mchache kufurahia maisha na kutendeana wema.
kwa kilichotokea Ruangwa 'siri ya mtungi aijuaye kata'
Umenisemea maneno yangu. Naamini unabii wa God bless Lema utatimia. Jiwe anachopaswa kufanya ni kusikia ushauri wa wengine, kuacha matusi na udhalilishaji na kuiacha nchi kwenye misingi ya demokrasia na utawala bora.

Akipuuza, naiona nguvu kubwa ikiteremka kuliko ya Ruangwa.
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica

Walivukiziwa moshi jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…