Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Amani na Upendo sio kuandika hukumu ya kifo kwa mpinzani wako wa kisiasa au anayetokukosoa, upendo na amani sio kuwabakikia kesi wapinzani wako wala kuwaziba midomo wasinene au kuwatukana
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
 
Kwa kile nilichokiona kwenye video ni kama mwanga mkali inaweza ikwa ilikua radi ambao imeshindwa nguvu na upepo wa kisulisuli na ndio ilisababisha Moshi kwenye gari ila kweli wameshindwa kama sio upepo wa kisulisuli ilikuwa mengine
 
Yanatokea mara nyingi kwa watawala,tulikuwa tukisikia Nyerere akienda Butiama kwa mapumziko mafupi.
Na kuna wakati Mzee Ruksa aliondoka na familia yake kwenda Zanzibar sababu zinazofanana.
Lakini ni mambo ya nyumba nyeupe sio porini ati.
Labda ni mwiko kuhama Ikulu ya Dar ukiwa Raisi wa Tanzania na kwenda kuishi Ikulu ya Dodoma,kwani Nyerere nae alichomoa akarudi Dar.
 
Amani na Upendo sio kuandika hukumu ya kifo kwa mpinzani wako wa kisiasa au anayetokukosoa, upendo na amani sio kuwabakikia kesi wapinzani wako wala kuwaziba midomo wasinene au kuwatukana
Mkishaparamia, kubughia na kushindilia kiporo cha kande iliyochacha kisawasawa mnajifanya kutoa nasaha za sympathy
 
Back
Top Bottom