Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Walimtumia radi ya kimya ikatoa ikamkosa ikapiga pembeni pakatoka moshi hadi mkutano ukahaikishwa lakini jembe aliendelea kupiga kazi Lindi hadi mtwara

Inauma sana .get well soon

Watashindana kakini hawata shindaView attachment 1238968
Dunia tunapita tu , ndio maana mnapofanya ukatili tunawashangaa sana !
 
Mbona kama kuna kitu kimewashwa tu chini hapo... Sidhan kama ni ushirikina... Inaweza ikawa moshi umemdhuru ila sio kwamba ni shirki
 
Mpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)

Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
IMG_1145.JPG
IMG_1146.JPG
 
Sasa mwenye hiyo video mpaka mwisho jinsi alivyoondoka atuwekee tuone


Maendeleo hayana chama jamani
Huyo aliyeihariri hii clip ana lake jambo. ndiyo maana ameishia hapo na hakuweka mpaka mwisho. Inwezekena lilikuwa tukio la kawaida kabisa lakini kwa sababu mhariri clip alitaka kufikisha ujumbe kwa waamini nguvu za uchawi basi akaondoa sehemu zilizofuata.
 
Mapambio
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Mapambio yanawahusu
 
Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.

Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.

Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Waziri mkuu alitaka kuwatetea JIWE akamtishia kuwa hata yeye angeondoka/angefukuzwa
 
Back
Top Bottom