babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia tunapita tu , ndio maana mnapofanya ukatili tunawashangaa sana !Walimtumia radi ya kimya ikatoa ikamkosa ikapiga pembeni pakatoka moshi hadi mkutano ukahaikishwa lakini jembe aliendelea kupiga kazi Lindi hadi mtwara
Inauma sana .get well soon
Watashindana kakini hawata shindaView attachment 1238968
ijasema mbona tusiende vituo vya mafuta wanatuambia tuzime simu nawaza tu kwa sauti kubwa haiwezekani hicho chombo kiko sensitive na umeme mkubwa hadi ikajivuruga chenyeweKwaiyo Ni nguzo zenye high voltage !?
Ivi Ni kweli uchawi hauvuki maji.?JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Huyo aliyeihariri hii clip ana lake jambo. ndiyo maana ameishia hapo na hakuweka mpaka mwisho. Inwezekena lilikuwa tukio la kawaida kabisa lakini kwa sababu mhariri clip alitaka kufikisha ujumbe kwa waamini nguvu za uchawi basi akaondoa sehemu zilizofuata.Sasa mwenye hiyo video mpaka mwisho jinsi alivyoondoka atuwekee tuone
Maendeleo hayana chama jamani
Mapambio yanawahusuHiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Waziri mkuu alitaka kuwatetea JIWE akamtishia kuwa hata yeye angeondoka/angefukuzwaHasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.