Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutaendeleaje wakati wanalima korosho wauze wapate fedha walete maendeleo wewe unapeleka wanajeshi wakusanye korosho kisha unawazulumu?Hii video nimecheka sana sasa watu wanaletewa maendeleo wao wanaenda kumloga jamani ndio mana lindi na mtwara hakuendelei
Where did you get this ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Maendeleo gani anawaletea wakati watu wanadaiwa na mabenki kwa Korosho alizodhulumu?Hii video nimecheka sana sasa watu wanaletewa maendeleo wao wanaenda kumloga jamani ndio mana lindi na mtwara hakuendelei
Kwani wamewahi kua na maendeleo?! Asira zao ni kuhalibiwa uchumi wao lkn pia kitukanwa wao na viongozi wao........na kuahidi keep chapo kwa shangazi zaoMaendeleo sijui km mtaletewa tena
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
ha ha ha ha ha kule kuna uchawi wa ngende ni hatari huko hata sumbawanga hawaingii ngende hicho kijiji ni noma watu wa Lindi na Mtwara wanajua
MTOA HABARI WWENU KIGOGO HAJAWAAMBIA KILICHOMPATA NA ALIKO RAIS UNAULIZA NANI AWAAMBIE NA HTA AKIKWAMBIA WEWE NDIY UTAKUWA WA KWANZA KUSEMA TAARIFA ZA UONGO NA ZA KUPIKWAJPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Ndio maana umeambiwa utazameMoshi ulitokea wapi?
Kwenye vituo vya mafuta ruam riwa kuzima magari na simu ha kwanini rais wetu amehutubia chini ya nyama za umeme wa voltage kubwa watatuambia wamemfanyaje rais wetuMoshi ulitokea wapi?
Si NIMESIKIA ana kitu kwenye moyo halafu amehutubia chini ya nyama za umeme wa voltage kubwa watatuambia wamemfanyaje rais wetu
JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956