Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Hii video nimecheka sana sasa watu wanaletewa maendeleo wao wanaenda kumloga jamani ndio mana lindi na mtwara hakuendelei
Maendeleo gani anawaletea wakati watu wanadaiwa na mabenki kwa Korosho alizodhulumu?

Maendeleo gani ataleta kwa kuacha miradi ya gesi iliyoasisiwa na JK? Anakimbilia kukata miti mbuga ya Selous?
 
JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
MTOA HABARI WWENU KIGOGO HAJAWAAMBIA KILICHOMPATA NA ALIKO RAIS UNAULIZA NANI AWAAMBIE NA HTA AKIKWAMBIA WEWE NDIY UTAKUWA WA KWANZA KUSEMA TAARIFA ZA UONGO NA ZA KUPIKWA
 
Walimtumia radi ya kimya ikatoa ikamkosa ikapiga pembeni pakatoka moshi hadi mkutano ukahaikishwa lakini jembe aliendelea kupiga kazi Lindi hadi mtwara

Inauma sana .get well soon

Watashindana kakini hawata shinda
 

Attachments

  • Screenshot_2019-10-20-10-45-47.jpeg
    Screenshot_2019-10-20-10-45-47.jpeg
    17.2 KB · Views: 10
This is ivery serious guys.....kuna sauti inatokea kwa chini like kitu kinachemka, then kuna kama reflection kule angani baada ya hapo ni moshi na baada ya moshi na ile reflection inaisha.....
JPM alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
 
Back
Top Bottom