bulicheka 3
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 599
- 557
Humshindi mama Janet kwa maombiNa sie wana maombi atuite tumwombeage!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humshindi mama Janet kwa maombiNa sie wana maombi atuite tumwombeage!
Imeeditiwa hiyo kipropaganda. Yaweza kuwa kwikwi ilitokea lakini sio kama ilivyo kwenye videoNimeileta kama nilivyoipata, labda tusubiri wataalamu wenyewe wa Ruangwa waje watujuze.
Kwamba camera huwa inatumika moja tu?Huu mwanga ni hitilafu ya camera maana kwenye picha yako ya pili hapo ukiangalia unaona umehamia kwenye huo mti baada ya kuonekana angani
Kuwasha flash mchana si ishu ya kawaida , hivyo assumption yako nayo bado ni proba tuHaiwezi kuwa miale ya jua, wala nyota, wala reflection ya jua, kwasababu inamove na camera. Hata camera ilipogeuzwa, huo mwanga ulikuwa at the same position
Hii video imerekodiwa na simu ikiwa inaplay kwenye TV. The quickest possible explanation ni kuwa kuna mtu mmojawapo aliyekuwa anaangalia hiyo TV aliwasha flash ya siimu probably for recording, kisha reflection ya hiyo flaash ndio inayoonekana kwenye video hii. Labda utuonyeshe origina recording (sio hii recording of a recording) tuone kama hiyo artifact ipo. Otherwise, huo mwanga has nothing to do na huo moshi
Kwa SangomaMoshi ulitokea wapi?
Looo ,Hatareeeeeeeeeeeee,ule si moshi wa kimafia lakini?Ni swala la wakati, ngoja tusubiri maana hiyo walikuwa wana test mitambo
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
nachukia sana uchawi na ni aibu ktk dunia ya leo kuushabikia! folish!
At kqqmiûyuMaweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Akili matope. Umeulizwa nini kilitokea Ruangwa we unataja watu wengine. Ule moshi ulitokea wapiHiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Jaribio la kitu gani? La kuchoma gari au la uchawi? Mbona kila possibility unaikataa na unabaki kubeat around the bushHakuna cha uchawi pale ,lile lilikuwa Jaribio la dhahiri lililoratibiwa vizuri , hawa watu wanafiki sana ...Tuombe Mungu Ampe utimamu wa mwili wa haraka ,tutajuwa mengi watajana tu , muhimu alindwe zaidi maana walioratibu wanajua akinyanyuka wataumbuka ....
Hata mtoto mdogo huwezi kumuambia kuwa Gari yenye security feutures kama ile inaweza kuanza kufuka moto na moshi hivi hivi tu ..
Full video.
Umeendika vizuri lkn yalipo mkuta lisu sijaona kuongea kitu upendo na amaniHiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica