Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Umeendika vizuri lkn yalipo mkuta lisu sijaona kuongea kitu upendo na amani
Waulize Chadema waliompiga risasi. Zito Kabwe ana huo ushahidi, mwambieni aupeleke kwa polisi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeendika vizuri lkn yalipo mkuta lisu sijaona kuongea kitu upendo na amani
Jaribio la kitu gani? La kuchoma gari au la uchawi? Mbona kila possibility unaikataa na unabaki kubeat around the bush
Wazee naona walituma air to surface ballistic missile akaistukia.Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Washabiki wa timu mbili pinzani huwa na vimbwana vyao vya kishabiki. sasa usipolijua hili litakusumbua sana utakapoinia kwenye kona moja ya vimbwanga hivyo. Chukulia kwa mfano;Simba na Yanga hawa hupenda kutumia umbo la kike kumwana mtani wake, utamuona mwanamke mrembo ana kichwa cha simba au kavaa flana kali ya njano.Aedit kwa ajili ya kum-fool nani?
Aliwatukana bila kuwaomba radhi akajichanganya kuingia ktk 18 zao wazee wakamuonyesha adabu.Atakuwa amepata funzo kuwa shangazi hachezewi, huwezi kumtishia mtu kuwa utachapa shangazi yake halafu uende eneo lake la kujidai shangazi akuache salama, amejua kuna laana ya shangazi. Ajifunze kulinda mdomo wake.
Mkuu, hao wazee was Ruangwa unaowashukuru wamefanya kitu gani kikuu...?
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?