Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Mashangazi noma yaani tukuchague halafu, ututukane, utukejeli, utukashifu halafu na hela zetu za korosho ulambe, ututishie na kutupiga.
 
Jaribio la kitu gani? La kuchoma gari au la uchawi? Mbona kila possibility unaikataa na unabaki kubeat around the bush

Wanaojuwa what exactly happened ni waliokuwa pale ...wao ndio wanajua exactly nini kilileta ule moshi , je ni tear gas ililipuka ? je kulitokea technical issue kwenye gari ikasababisha itake kushika moto ....na ilisababishwa na nini ? maswali kama hayo huwa hayajibiwi kwa assumption ....bali watakaopeleleza watabaki na majibu ....since its not a public enquiry lakini kwa utaratibu lazima watatafuta jibu kwa matumizi yao for imrovement
 
Aedit kwa ajili ya kum-fool nani?
Washabiki wa timu mbili pinzani huwa na vimbwana vyao vya kishabiki. sasa usipolijua hili litakusumbua sana utakapoinia kwenye kona moja ya vimbwanga hivyo. Chukulia kwa mfano;Simba na Yanga hawa hupenda kutumia umbo la kike kumwana mtani wake, utamuona mwanamke mrembo ana kichwa cha simba au kavaa flana kali ya njano.
 
Mungu ana mengi, yetu machache sana na eti tunayaona ni mengi na muda hautoshi. Hatuna muda mwingi ni bora tukautumia muda huu mchache kufurahia maisha na kutendeana wema.
kwa kilichotokea Ruangwa 'siri ya mtungi aijuaye kata'
 
Mimi kijana wenu mpendwa ninawasalimu sana. Ni muda mrefu toka tuonane kipindi kile nikiwa napita hapo Ruangwa nikielekea Nachingwea shuleni.

Utulivu huu ulipo wikendi hii unaletwa kwa hisani yenu wazee. Hatujasikia matusi wala makelele ktk Runinga zetu wala redio wikendi hii tuna Amani kweli kweli.

Wakati tumedhulumiwa nyongeza za mishahara kwa miaka minne, kutopandishwa vyeo kwa wakati, kutolipwa pesa za likizo, na dhuruma kede kede Mtu anatuongezea mimatusi na kebehi za ulevi wa madaraka.

Wazee endeleeni na Moyo huo huo wa kulipenda taifa letu. Ninyi ndio tumaini pekee lililo bakia kuleta Amani na utulivu mioyoni mwetu wana wa nchi.

CC wapenda Amani
 
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?
 
Atakuwa amepata funzo kuwa shangazi hachezewi, huwezi kumtishia mtu kuwa utachapa shangazi yake halafu uende eneo lake la kujidai shangazi akuache salama, amejua kuna laana ya shangazi. Ajifunze kulinda mdomo wake.
Aliwatukana bila kuwaomba radhi akajichanganya kuingia ktk 18 zao wazee wakamuonyesha adabu.
 
Tunataka KIASI KWA KILA JAMBO, soma biblia utaelewa
Rais akionekana Live sana tunalalamika anonekana yeye, akiongea ana tukana, asipoonekana siku moja kazidiwa na ugonjwa, asipoongea napo tunauliza Rais gani hasemi chochote.. Daah this is too much, nini tunataka Ndugu?
 
Back
Top Bottom