Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Usitudanganye hao unaowataja uliona moshi ukiwafunika? mambo haya huambatana na tabia ya mtu.
 
Yanatokea mara nyingi kwa watawala,tulikuwa tukisikia Nyerere akienda Butiama kwa mapumziko mafupi.
Na kuna wakati Mzee Ruksa aliondoka na familia yake kwenda Zanzibar sababu zinazofanana.
Lakini ni mambo ya nyumba nyeupe sio porini ati.
Labda ni mwiko kuhama Ikulu ya Dar ukiwa Raisi wa Tanzania na kwenda kuishi Ikulu ya Dodoma,kwani Nyerere nae alichomoa akarudi Dar.
Ni uongo unatudanganya Nyerere tulimfahamu alikuwa mcha Mungu mpenda haki kwa wote bila ubaguzi.Inawezekana wewe Nyerere unamwona kwenye picha tu. hata siku moja hakufanya huu upuuzi wa Gamboshi ya wachawi 900.
 
Unalishwa maneno, very pathetic.
 
Hakuna kilichotokea zaid ya moshi kuwa mwingi baada ya hapo mkutano uliendelea, hayo ni majungu ya wapotoshaji ie Zito Kabwe na genge lake. Full Video ipo you tube, hapa JF hata ukiweka haionekani kwa sababu wameizuia kuendeleza agenda yao.
 
Endelea unajidanganya!! Ile ni mitambo ilikuwa ina testiwa tu!!
 
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.

Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
Kwa kilichotokea baada ya moshi uliotokea kwenye gari ya Mh Rais na uzushi uliofuata kuzushiwa maradhi,kusafirishwa kwenda South Africa then Germany ukiunganisha dots kwa utulivu hasa ukihusisha hili la moshi lilitokea Lindi ,umiliki wa account ya Kigogo kuhusishwa Zitto Kabwe na Membe anavyotajwa kutaka kuhamia ACT Wazalendo na kuwa mgombea urais wao utajua nini kilikuwa nyuma yake
 
Ukweli ni kwamba alipata mtafaruku wa siku 2 na alikatisha ziara ya Kibiti na Mkuranga. Hata kama hakupelekwa SA na Germany kama anavyodai Kigogo, ila ukweli ni kwamba bado hali yake tia maji tia maji.
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Umeandika vizuri amani inaanza kwa viongozi kwanza endapokua utaheshimu katibu utawala bora vyama vya upinzani nawatu wanaokukosoa pale unapokosea Basi amani itakuwepo
 
Kwa kilichotokea baada ya moshi uliotokea kwenye gari ya Mh Rais na uzushi uliofuata kuzushiwa maradhi,kusafirishwa kwenda South Africa then Germany ukiunganisha dots kwa utulivu hasa ukihusisha hili la moshi lilitokea Lindi ,umiliki wa account ya Kigogo kuhusishwa Zitto Kabwe na Membe anavyotajwa kutaka kuhamia ACT Wazalendo na kuwa mgombea urais wao utajua nini kilikuwa nyuma yake

Fake news na JF wamekuwa mstari wa mbele kuabudu hii made up clip.
 
Back
Top Bottom