Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Mkuu uislamu umeanza lini na Jesuit imeanzishwa lini???
katavi nilichanganya mada,jesuits ni shirika lililoanzishwa na Loyola na wanafunz wenzake mnamo mwaka 1534 wakiwa uko ufaransa japo Layola alikuwa mspanishi mwingine mreno n.k.
uislam tayali ulikwa na miaka zaid ya 900.
 
Okay nimekuelewa mkuu, nilidhani historia ninayoijua mimi ilikuwa nyingine.
 
Hii picha yake enzi hizo kamera zilikuwepo?kimsingi Mimi huwa najiuliza wema unaenezwa VP kwa panga?kisha mtendaji anapewa sifa ya ushujaa Mimi naona mungu aliamua kumwondoa kwa njia hyo
 
Hii ni moja ya habari ambayo inaunganisha uislam na ugaidi. Yaani mtu kuua watu mji mzima ili wafuate dini anayoitaka anakuwa shujaa? hii ni hatari
Hata wakristo mkuu walifanya hivyo hivyo poland bulgaria Bosnia n.k miaka ya 1100 hivyo sio hoja kushambulia waislam ilihali wakristo walichinja sana watu ulaya ya mashariki waliokataa kubatizwa
 
Hii picha yake enzi hizo kamera zilikuwepo?kimsingi Mimi huwa najiuliza wema unaenezwa VP kwa panga?kisha mtendaji anapewa sifa ya ushujaa Mimi naona mungu aliamua kumwondoa kwa njia hyo
Picha ya rangi alichorwa enzi hizo ila hyo kashika upanga ni scene ya movie walio mu act .......

Kuhusu kusambaza dini kwa upanga ni dini zote zimefanya hivyo hata ukristo ulitumia panga kubatiza watu ulaya ya mashariki

Na kuhusu kifo chake inawezekana kweli Mungu alimchukua sababu bila hivo leo hii huenda historia ingebadilika sana penginepo ulaya ingekuwa bara la waislam watupu
 
Mkuu, kwenye kila nyuzi zako, napataga maarifa, ila kilichomuua jamaa ni laana ile damu aliyo imwaga ilimlilia MUNGU, alipe kisasi kwa mtesi wao.
 
Interesting!!! Hebu tupe family tree inayo muunganisha huyu mtume wa mwisho na Ibrahim Baba wa imani. Na umetaja Injili, na hii Injili imesema wazi kuwa mtu hawezi kufika mbinguni ila kwa njia ya Yesu. Sasa sijui nini maoni yako juu ya hili?
At that tym...ni vigumu kwenda mbingun pasipo kuamin kitabu cha Mwenyezimungu (INJILI), nabii Issa(Yesu) aliletokezwa kwa ajili ya Israelites, till this tym, uislam wangu haukamiliki kama navihini vitabu vya mwenyezimungu na mitume wa mwenyezimungu.

Mtume Muhammad anatoka katika uzao wa Ismail (A.S) mwana wa Ibrahim kupitia mjakazi wake(Suria) ilhal manabii wengi wa kiisrail wanatoka katka uzao wa Is'haqa nduguye na Ismail kwa mke wa Nabii Ibrahim !!
 
Mohamed II The Great! Namkumbuka tu ni kuwa ndiye alifanya Military blockade dhidi ya Mataifa ya Ulaya! Hakuna kupita Constantinople kwenda bara la Asia.
Ndiye aliyesababisha wazungu kuanza kuzunguka kupitia bahari ya Atlantic na India kwenda Far east.
Sijui aliuwawaje aisee.
 
Hii ni moja ya habari ambayo inaunganisha uislam na ugaidi. Yaani mtu kuua watu mji mzima ili wafuate dini anayoitaka anakuwa shujaa? hii ni hatari

Kuna habari pia inaunganisha ukristo na ugaidi nayo ni vita ya msalaba (Crusade war)
 
nani kakudanganya kuwa waqureshi wanatokana na uzao wa ishmael?issa bin maryam sio YESU
 
na hii ndo sababu EU wanampa uturuki paund bilion 3 kwa mwaka kutunza wakimbizi wa syria wasiingie ulaya na kuibadili history,
dictator Endorgan aliwaambie either mtoe pesa nizuie wakimbizi wasiingie europe au mgeuke kuwa islamic repabulic,walipoona sweden inageuka kweli kuwa islamic republic ikabidi wakubaliane na ukweli tu,
kuivuruga syria kumechangia sana movement yao kusababisha clash of civilisation huko ulaya hasa nchi za france,germany na hata UK.

Hapo uturuki kunawakimbizi wa syria karibu milion 3 na wote wanakodelea macho europe,
hayo ndo madhara ya vita,inaleta muingiliano wa watu na civilisation zinakuwa zinaingiliana huyo king hakuwa anaeneza dini bali utawala wake,kuingia kwa uislam spain etc ni matokeo tu ya vita.

Ndo maana leo unakuta mkuu wa majeshi ya Russia na iran asili yao ni uturuki,
na rais wa uturuki,asili yake ni Georgia
 
Kuua sio sifa nzuri
 
Umeanza vizuri lakini umeharibu pale unapojaribu kutudanganya Nabii Issa ndiye Yesu Kristo hawa huwezi kuwalinganisha hata kidogo na ukijaribu kuwalinganisha ndio mwanzo wa kupotea kabisa.
 
Hao Ottomans waliua wakristo wa jamii ya Armenia wapatao milioni moja. Ila wao wanapinga hadi leo wakati Armenians wanasema ni kweli na ni moja ya genocides mbaya zaidi kupata kutokea dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…