Labda aliona sawa kwa imani yake [emoji3]aiseee....hiyo laana kumbe ndio maaana alikufa kiboya "" hiyo dini alikuwa anaitangaza vipi sasa wakati alikuwa mshenzi "" yaani anahubiri watu wafnye mambo ambayo yeye mwenyew yanamshinda ...huu ulimwengu bwana
imani Yke imekemea mnooo hayo mambo"" mkuu....yeye mwenyew tu na ushetani wake aiseeLabda aliona sawa kwa imani yake [emoji3]
una maanisha nini !??Ni watu sio dini
Sheikh Shariff Majini...Fuatilia utajuwa, kama upo karibu na sheh wa msikiti wowote muulize kifuani mwako umehifadhi majinni wangapi. Sasa nahitaji kufahamu kwa nini uislam na majinni
Hatari sana!imani Yke imekemea mnooo hayo mambo"" mkuu....yeye mwenyew tu na ushetani wake aisee
Pitia hapa mkuu mwaka 1095 ndio wakristo walianza kuchinja watu wote waliokataa kubatizwapoint of correction..historia ya ukristo haisemi hivo..refer first 1000yrs of christianity..and another 1000yrs of christianity
Kwa hiyo nyinyi ni wayahudi?[emoji13] [emoji13]Ni propaganda tu hii....UISLAMU unafanana zaid na uyahud kuliko ukristo....kwa sabab katka series ya mitume wote na the same bloodline na Muhamamad alitumwa kuja kukamilisha kile kilichoanzishwa na nabii Adam....hakuja na jipya sana isipokuwa Quran tukufu ambayo n mjumuisho wa Torati la kweli, zaburi iliosahih, injili ya kweli na Quran yenyewe iliokamilisha mfumo sahihi wa maisha uliokusudiwa na Mwenyezi.......ndio maana hutoona tofauti kubwa baina ya Uyahudi na Uislam. Mtume Muhammad n wa mwisho katka ile bloodline ya kitume toka kwa Nabii Ibrahim(Baba wa Mitume)
Hoja kuwa uislam umeanzishwa na RC Church.....n propaganda zisizo na mashiko lengo kuwahadaa watu waone kumbe dini hiz za kimapokeo n mpango tu wa Majesuits......
Mfananano wa Propaganda hii ni kama ile ya kusema vyama vyote vya Upinzani Tanzania vilianzishwa na CCM lengo wafadhili waone eti tuna democracy-Ni Urongo wa dhahir kabsa !! Vipo baadh lakin hilo halihalilish zoezi zima !! Hivyo kama kuna matawi ya U-RC yalotokana na U-RC sawa lakin hilo haliwez kushajihisha kuwa uislam umeanzishwa na Ukatolik !!
Sio Wakristo Sema Waroman Cathorik ndio waliotisha waliokataa kubatizwa.Pitia hapa mkuu mwaka 1095 ndio wakristo walianza kuchinja watu wote waliokataa kubatizwa
Crusades - Wikipedia
Wewe nyabhingi kila siku unarukaruka tu, habu tuambie.mimi sio atheist kama kiranga
tofauti na nyinyi mimi simuabudu allah wala jehova
Naiona tofauti indeed ahsante kwa maelezoSio Wakristo Sema Waroman Cathorik ndio waliotisha waliokataa kubatizwa.
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya Wakristo na Waroman Cathorik.
Roman Kathorik ni dhehebu kama walivyo Wa-Shia au Suni katika Uislam.
Sio Wakristo wote ni Roman.
Papa ni Kiongozi wa Waroman na sio Wakristo wote.
Imani ya Ukristo hairuhusu Kuadhibu watu katika kosa liwalo lolote lile. Wanaaambiwa anayeruhusiwa kuadhibu ni Mungu peke yake kwenye Makosa ya Kiroho.
Ukiona kundi la watu linaadhibu watu kwa kujidai lina mamlaka ya kiimani hao watakuwa watu wa dini fulani au dhehebu fulani na wanatimiza malengo ya dini hiyo na sio Ukristo.
Ukristo ni
"Kufanya mambo aliyo agiza Yesu Kristo kuyafanya kupitia mafundisho yake ya namna ya kuurithi ufalme wa Mbingu"
Hao waliochinja watu kwa kukataa kubatizwa sio Wakristo ingawa labda wenyewe walijiita hivyo kwakuwa hakuna agizo lolote toka kwa Kristo Yesu linalosema watu wasiotii maagizo yake wachinjwe.
Endelea kukumbuka kila wakati kuwa kuna Wakristo na wengine wanaoweza kujiita Wambagala, Waebrania, Waufufuo, Waroma, Wasabato, wainjiri nk.
Hayo ni majina tu ya dini na kujitambulisha lakini majina hayo hayawafanyi wawe Wakristo.
Sema Waroma waliwaua watu kipindi fulani kwa kuwalazimisha kubatizwa na sio Wakristo kwani haikuwa ajenda ya Kikristo na haitakuwa.
JIBU HILI SWALIUturuki i guess maana ndio yalikuwa makao makuu ya ottoman empire
1.namuabudu mungu(creator)Wewe nyabhingi kila siku unarukaruka tu, habu tuambie.
Kama
1.Wewe huabudu kabisa kwani huna cha kuabudu ?
2. Kama unaabudu unamwabudu nani au unabudu nini ?
Mkuu nyabhingi hebu tueleze Wasifu wako maana nakuona unapingapingatu ibada za wengine, wewe una hadhi gani ?
2. Nimeipenda hiyo namba 2 asee so uko deep kwenye mambo ya ancient egypt..... Next tym shusha thread basi ya dynasty za kipindi hicho kuanzia kina Pharaoh thutmose na kina Akhenaten maana nayo egypt ina golden history sana1.namuabudu mungu(creator)
2.mimi ni egyptologist(naendelea kujifunza)
Ni lini waislam wameanza kuabudu majini au umekaririshwa tu mkuu..... Yaani waache kumuabudu Allah waabudu viumbe??? DuhJIBU HILI SWALI
historia ya kuabudu na kuhusudu majinni kwenye uislam ilianzia wapi? Maana hakuna uislam pasipo majinni
Asante sana kwa jibu lako zuri1.namuabudu mungu(creator)
2.mimi ni egyptologist(naendelea kujifunza)
usijali mzee baba,nilidhani niko mwenyewe humu kumbe mpo wafatiliaji2. Nimeipenda hiyo namba 2 asee so uko deep kwenye mambo ya ancient egypt..... Next tym shusha thread basi ya dynasty za kipindi hicho kuanzia kina Pharaoh thutmose na kina Akhenaten maana nayo egypt ina golden history sana
Hebu fatilia nyuzi zangu kuhusu hizi mambo kwenye jamii intelligenceAsante sana kwa jibu lako zuri
Huyo "mungu (creator)" kama ilivyo mtaja.
Mwenzetu
Umemwona wapi ?
Amejitambulisha wapi ?
Ana hadhi gani zaidi ya ku Create ?
Anasemaje ?
Umemjuaje ili nasisi tujifunze kuhusu yeye ?
dr.Ben(rip),Clerk(rip),Ray Haggins are my heroes kunitoa kwenye mental slavery2. Nimeipenda hiyo namba 2 asee so uko deep kwenye mambo ya ancient egypt..... Next tym shusha thread basi ya dynasty za kipindi hicho kuanzia kina Pharaoh thutmose na kina Akhenaten maana nayo egypt ina golden history sana
Aseee tupo wengi mkuu shusha nondo watu wafunguke akili humu bila kusahau kina Nefertiti na Ramsesusijali mzee baba,nilidhani niko mwenyewe humu kumbe mpo wafatiliaji
nitawashusha akina imhotep
horus,isis,osiris
lady of justice(ma'at)
kwa uwezo wa NETER