Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Mambo mawili, hasa:
1. Kuikodisha chadema kwa lowassa (rip) kuwa kigombeleo cha urais 2015, kwa kukatiwa cha juu. Iliniumiza sana nikaamua kuachana na ushabiki wa vyama.
2. Mbowe kusema angeachia ngazi mwishoni mwa 2023 na asitimize ahadi yake. Hakutimiza ahadi, hakutoa maelezo ya kwa nini alibadili mawazo, wala kuomba radhi!
Sasa watu kama hao kuendelea kuwaamini si kujitafutia presha bure?!
 
nacheka but ni mambo imotinal sana, na for sure watu wamejeruhiwa sana na wana very serious injuries za siasa za vyama mioyoni mwao,

wapambanaji wanaumizwa sana na mambo ya kubadili gia angani kwa maslahi binafsi ya wachache wazi wazi kabisa...dahπŸ’

inasikitisha sana, inakatisha tamaa πŸ’
 
Kutuahidi posa-hewa kila baada ya miaka 5 kwamba wanachukua nchi na kuunda serikali, huku wakiishia tu kukomba ruzuku na kuunda purukushani vyamani.

Tuko tumekaa palee tunawachora tu wakijiandaa kutunadia mbwembwe zingine kibao mwaka huu na mwakani.
Government is of the people, for the people and by the people. Ukielewa hilo huto hangaika na vyama vya siasa kujiletea ukombozi.
 
Government is of the people, for the people and by the people. Ukielewa hilo huto hangaika na vyama vya siasa kujiletea ukombozi.
hivi concentrations za vyama vya siasa vilivyo inje ya serikali huwa wapi hasa kwenye hilo?

ni kwenye "of the people", "for the people" au "by the people"?
na mashaka ya wanaichi huwa ni wapi?πŸ’
 
hivi concentrations za vyama vya siasa vilivyo inje ya serikali huwa wapi hasa kwenye hilo?

ni kwenye "of the people", "for the people" au "by the people"?
na mashaka ya wanaichi huwa ni wapi?πŸ’
Hii inafunction vizuri kwenye zile nchi ambazo wagombea huru wanaruhusiwa bila ridhaa ya chama chochote..
 
Hatuna imani na Tawala tu kwakua hawa wapinzani wanao compromise ni watu wao hivyo hatuna sababu yakuwachukia ike hali mbaya wetu ni vegetables
 
Waliposema vijana hawana ajira na kuna umaskini wa kutisha Tanzania wakati si kweli, watu wote ni matajiri
iiposema
 
Sijui hata umeongea nini
 
Baada ya kuanza kumtukana rais samia hapo ndo walipotea mazima. Wananchi waliwadharau kwa kuwa samia ndo kwanza aliwatia kifungoni baada ya miaka 5 kufungwa midomo na jpm na wengine kumimbia nchi.

Mama akawafanyia hisani lakini wao wakaanza kumshambulia as if kafanya kosa kuwafungua.
 
Swali la kujiuliza mwanzo uliwaamini kwa lipi? Ni kwa sababu tu wanaikosoa serikali?
 
Inawezekana wewe ni mlevi wa bangi, hii siyo akili ya mtu wa kawaida tu.

Lakini bangi zitakapo koma hapo ndipo utakapotambua dunia iko vipi.
 
Wewe una mada gani kama siyo takataka unazojaza humu kila siku!
Unahangaika sana, hiyo ni ishara tosha kwamba huko uliko kunafuka moto mkubwa. Ukiziwi mliojipachika mmeona hausaidii kitu badala yake unawadidimiza. Ndiyo maana nyinyi walamba...mnahangaika kama mliowekewa pilipili sehemu nyeti.
 
"Tuishi nao kwa akili" sometimes hii kauli isitumike tu kwa wanawake inastahili kwa watu kama hawa wenye mihemko
 
gentleman,
kwani mada inasemaje
 
Inawezekana wewe ni mlevi wa bangi, hii siyo akili ya mtu wa kawaida tu.

Lakini bangi zitakapo koma hapo ndipo utakapotambua dunia iko vipi.
kwamba umenitisha au umenihubiria?

ushauri ni mzuri ila mshauri mwenyewe sasa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…