UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mambo mawili, hasa:
1. Kuikodisha chadema kwa lowassa (rip) kuwa kigombeleo cha urais 2015, kwa kukatiwa cha juu. Iliniumiza sana nikaamua kuachana na ushabiki wa vyama.
2. Mbowe kusema angeachia ngazi mwishoni mwa 2023 na asitimize ahadi yake. Hakutimiza ahadi, hakutoa maelezo ya kwa nini alibadili mawazo, wala kuomba radhi!
Sasa watu kama hao kuendelea kuwaamini si kujitafutia presha bure?!