Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutwa nzima, unajaza matakataka JF! Unataka uachwe tu? Hapana.kwa faida ya wenye mihemko, waporomosha matusi na wa kutukana sio 🤣
Hivyo visungura unavijua wewe. Sina muda wa lugha za aina hiyo.kwamba ndio kitanzi hiki 🤣
kweli visungura vinavuruga watu dah 🤣
"duplicate' haiwezi kuwa nyingi mno. Maana yake hujui 'duplicate' ni kitu gani.duplicate ni nyingi mno badili point, unarudia sana 🤣
Kwahiyo unaheshimika sana kwa kuporomosha matusi na kutukana ee 🤣Hiki kimstari kimoja tu kimekuelezea vya kutosha wewe ni mtu wa aina gani. I have very low regard for such individuals.
Kwa maana hiyo nitajibishana nawe katika ngazi hiyo hiyo.
au kama thelujipamba si safi na nyeupe sana 🐒
Unatafuta "heshima" ya kujaza matakataka JF?Kwahiyo unaheshimika sana kwa kuporomosha matusi na kutukana ee 🤣
pana ugumu mno kwa wao wenyewe kufahamu na kuelewa kwamba wanadai kitu ambacho wao ndani ya taasisi yao ya kidemokrasia, hawawezi hata kukifuata, achilia mbali kukiheshimu tu, aise 🐒Ni katika kusema CCM imekaa sana madarani na kusema tunatumia katiba ya zamani wakati wao mpaka leo mwenyekiti wa chama ni yule yule..
Angalia kwa mfano, jibu kama hili hapa; halafu unajidai "unaelimisha"?pana ugumu mno kwa wao wenyewe kufahamu na kuelewa kwamba wanadai kitu ambacho wao ndani ya taasisi yao ya kidemokrasia, hawawezi hata kukifuata, achilia mbali kukiheshimu tu, aise 🐒
CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.
Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisa wapinzani na kwamba ni watu wasioaminika tena?🐒
Na ni zaidi ya hivyo mkuu 'lusahoko'.CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.
pana ugumu mno kwa wao wenyewe kufahamu na kuelewa kwamba wanadai kitu ambacho wao ndani ya taasisi yao ya kidemokrasia, hawawezi hata kukifuata, achilia mbali kukiheshimu tu, aise
Watu wanafiki aina yako huwa sina simile nao hata kidogo. Unajifanya kuja hapa na vimaneno hafifu huku nia ikiwa hovyo. Usitegemee utavumiliwa.ntafurahi ukinielekeza namna ya kupata mihemko na kuporomosha matusi na kutukana, ili nipate heshima pia , kama unavyo heshimika kwenye timu ya waporomosha matusi 🤣
sasa watu wasio na dira, mipango wala uelekeo wataeleweka au kuaminika kwa nani kwa mfano, hata wakabidhiwe dhamana nzito na muhimu kama kuongoza mtaa,kata, jimbo au nchi kwa mustakabali wa maisha yao?🐒CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.