Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Ni katika kusema CCM imekaa sana madarani na kusema tunatumia katiba ya zamani wakati wao mpaka leo mwenyekiti wa chama ni yule yule..
 
Hiki kimstari kimoja tu kimekuelezea vya kutosha wewe ni mtu wa aina gani. I have very low regard for such individuals.
Kwa maana hiyo nitajibishana nawe katika ngazi hiyo hiyo.
Kwahiyo unaheshimika sana kwa kuporomosha matusi na kutukana ee 🤣
 
Ni katika kusema CCM imekaa sana madarani na kusema tunatumia katiba ya zamani wakati wao mpaka leo mwenyekiti wa chama ni yule yule..
pana ugumu mno kwa wao wenyewe kufahamu na kuelewa kwamba wanadai kitu ambacho wao ndani ya taasisi yao ya kidemokrasia, hawawezi hata kukifuata, achilia mbali kukiheshimu tu, aise 🐒
 
Angalia kwa mfano, jibu kama hili hapa; halafu unajidai "unaelimisha"?
 
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.

Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisa wapinzani na kwamba ni watu wasioaminika tena?🐒
CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.
 
Unatafuta "heshima" ya kujaza matakataka JF?
ntafurahi ukinielekeza namna ya kupata mihemko na kuporomosha matusi na kutukana, ili nipate heshima pia , kama unavyo heshimika kwenye timu ya waporomosha matusi 🤣
 
CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.
Na ni zaidi ya hivyo mkuu 'lusahoko'.
CCM hawataki kuondoka madarakani; wanatumia kila mbinu waendelee kubaki hapo hapo. Hili ndilo tatizo litakalo lazimisha watolewe hata kwa kutumia nguvu.
Vyama vya upinzani hakuna hata kimoja kilicho hodhi kubaki madarakani kwa nguvu.
 
ntafurahi ukinielekeza namna ya kupata mihemko na kuporomosha matusi na kutukana, ili nipate heshima pia , kama unavyo heshimika kwenye timu ya waporomosha matusi 🤣
Watu wanafiki aina yako huwa sina simile nao hata kidogo. Unajifanya kuja hapa na vimaneno hafifu huku nia ikiwa hovyo. Usitegemee utavumiliwa.
 
CCM ndo hawaaminiki. Maana ndo wenye dhamana hao mnaowaita wapinzani hawajawahi kuongoza mpaka tuone wameshindwa. Isipokuwa Kwa CCM tunaona wameshindwa. Kila wanacholalamikiwa wanaziba masikio. Watu wa 2024 siyo sawa na 1947.
sasa watu wasio na dira, mipango wala uelekeo wataeleweka au kuaminika kwa nani kwa mfano, hata wakabidhiwe dhamana nzito na muhimu kama kuongoza mtaa,kata, jimbo au nchi kwa mustakabali wa maisha yao?🐒
 
Back
Top Bottom