Nini kilitokea B-hits

Nini kilitokea B-hits

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Miaka kama minne iliyopita B-hits ilikuwa kati ya studio zilizokuwa zikitoa hits nyingi chini ya pancho latino mafia na hammy B.
Mtakumbuka ngoma kama
Bado nipo nipo - FA
Dakika moja tu - FA ft AY
Amore- Baby Madaha
Show za joh - joh makini
Closer - Vannessa Mdee
Bye bye - Joh Makini
Leo - AY ft avril
Ndole - Mabeste ft Deddy
Sirudi tena - Mabeste ft Jux
Baadaye sana - Mabeste
Destiny - mrap ft deddy
Msiache kuongea- FA ft jaydee
Unanijua unaniskia - FA
Nangoja ageuke - FA & AY

na ngoma kibao. Mara ghafla wasanii wakahama almost wote.
Siamini kama uwezo wa Pancho au hammy B umeshuka ila kutakuwa na sababu maana siku hizi B-hits haina hits kama zamani
 
Subria wajuzi waje!ata wausika wapo umu!watatoa ufafanuzi!
 
B hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia

Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana record kwa kiasi gani
Nasikia hawa wasanii wakubwa wanapenda warekodi bure mtu akiwambia ela ya kueleweka basi wanahamia kwingine
 
ni kweli kabisa. pia wana mwanasheria wao ikitokea ukaperform wimbo wao wowote bila kupitia mkataba wao wa kurecord pale ilikuwa unashtakiwa.
 
Studio sikuhizi hazina dili, ukikataa kurekodi kwa laki 2 msanii anaenda kwingine anapiga hit kali kwa laki tu, ndio maana maproducer wanabaki maskini, msanii wimbo mmoja anaweza kutengeneza milioni 30, producer akaambulia laki 2 tu ya kurekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hermy b alkua na sera nzuri icpokua kwa bongo muda wake bado ndo kilichowakimbiza wasanii wengi, ila ubora wa production upo
 
Ana record kwa kiasi gani
Nasikia hawa wasanii wakubwa wanapenda warekodi bure mtu akiwambia ela ya kueleweka basi wanahamia kwingine
Ana recod kwa milion mkuu, sema kwa sisi wasanii wachanga hiz production kubwa zinatubania sana, ukiangalia upande wa wasanii wakubwa huwa wanarecod bure mara nyingi ili kuitangaza studio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Studio sikuhizi hazina dili, ukikataa kurekodi kwa laki 2 msanii anaenda kwingine anapiga hit kali kwa laki tu, ndio maana maproducer wanabaki maskini, msanii wimbo mmoja anaweza kutengeneza milioni 30, producer akaambulia laki 2 tu ya kurekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakin kwa msanii mchanga usikimbikie vistudio vya uchochoron, tafuta situdio kubwa ili ikusaidie kutoka, studio kubwa hata kupata colabo na msanii mkubwa ni simple sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana recod kwa milion mkuu, sema kwa sisi wasanii wachanga hiz production kubwa zinatubania sana, ukiangalia upande wa wasanii wakubwa huwa wanarecod bure mara nyingi ili kuitangaza studio

Sent using Jamii Forums mobile app

Alienacho anaongezewa asie nacho ananyang'anywa ata kidogo alicho nacho.

Nilijua wasanii wachanga ndo wanarekodiwa bure kwasababu wengi wao hawana hela.
 
Alienacho anaongezewa asie nacho ananyang'anywa ata kidogo alicho nacho.

Nilijua wasanii wachanga ndo wanarekodiwa bure kwasababu wengi wao hawana hela.
Haiko hivo mkuu wasanii wachanga tunabaniwa sana tofaut na wakubwa, hiz studio hazijui kuwatoa wasanii wachanga wenyewe wanapenda wale walio juu ambao washatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom