Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Endelea kuhamasisha ndugu na jamaa waende nje wawe diasporaz utaona tu zinarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona KLM ya Uholanzi bado inakuja na watanzania ni wachache sana huko?Endelea kuhamasisha ndugu na jamaa waende nje wawe diasporaz utaona tu zinarudi
KLM bado wanakuja mpaka sasa mkuuNavyofahamu KLM ilisitisha safari za Tanzania toka corona ipambe moto.
Sawa mkuuGharama za uendeshaji...
Juzi niliona ndege zao KIAKLM bado wanakuja mpaka sasa mkuu
Mhhh...Pia walikuwa wanatuletea madege ya zamani.
Vipi tena, miaka ya 80 ilikuwa unatoka States na Pan Am halafu ukifika Ulaya mnapanda ndege zilizochoka kuja Afrika. Uliza wakubwa zako watakujuza.Mhhh..
Hata Britush airways kutoka Dar to London imeota mbawa sijui kwann aiseeMambo vp jamiiforums.
Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga?
==========
View attachment 1727879
==========
Jana nikiwa nimepaki gari yangu (Taxi Bubu) hapa kijiweni nilipigiwa simu kwenda kuchukua abiria mmoja pale uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere (JNIA) alikuwa anatokea hukoooo majuu.
Sasa wakati ninasoma vijarida kadhaa pamoja na kupiga stories na abiria pamoja na ndugu waliokuja kupokea wenzako pale sehemu ya kusubiria, nikajifunza mambo yafuatayo.
Kuna njia mbili tu za moja kwa moja kutoka Ulaya hadi Tanzania kwa njia ya ndege. Kwanza kuna KLM (Royal Dutch Airlines) ambayo huruka kila siku kuja Dar es Salaam kutoka Amsterdam nchini Uholanzi.
View attachment 1727881
Njia ya pili ni kupitia shirika la ndege la Uturuki kutoka Istanbul uwanja wa ndege wa Ataturk. Vinginevyo wasafiri kutoka Ulaya wanaweza kupanda ndege kwenda Nairobi. Halafu Kenya Airways inakujaga karibia kila siku huku Dar/Tanzania.
Mashirika yanayokwenda Nairobi ni pamoja na British Airways kutoka London Heathrow; Air France kutoka Paris; Swiss Air kutoka Zurich; Brussels Airlines kutoka Brussels nchini Ubelgiji; Lufthansa kutoka Frankfurt; na Kenya Airways kutoka London Heathrow au Amsterdam.
Kwa ujumla, Shirika la Ndege la Kenya huchukua chini ya masaa tisa usiku mzima kutoka London hadi Nairobi, ambayo inaunganisha kufika Dar es Salaam.
Ikiwa unataka kuja Dar es Salaam, basi vinginevyo unaweza kuunganisha kupitia Cairo na Egypt Air; kupitia Dubai na Emirates; kupitia Abu Dhabi na Etihad Airways; kupitia Addis Ababa na Shirika la ndege la Ethiopia.
View attachment 1727882
Pia abiria anaweza kupitia Muscat na Oman Air; au kupitia Doha na Qatar Airways. Baadhi ya mashirika haya ya ndege pia yana njia zinazoingia Kilimanjaro na Zanzibar.
SWALI LANGU: Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flights) za mashirika ya ndege ya Ulaya kama kama Scandinavian Airlines (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe KLM bado anakuja Tanzania?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mafuta ya gharama nafuu na ndege za kisasaPia walikuwa wanatuletea madege ya zamani.
Waarabu walipokuja wakawa wanaleta ndege mpya kwa kuwa yalikuwa ni mashirika mapya. Mashirika ya ulaya yakashindwa kushindana, huku wakilalamika ndege za waarabu zinashindana unfairly kwa kuwa wanapata mafuta bure kutoka serikali zao.
Ninadhani hilo ndilo jibu sahihi kwa hili swali lakoMafuta ya gharama nafuu na ndege za kisasa
Really?Naweza ongezea
1•geographic
Hii imechangia sana kufanya ndege nyingi kutofika mfano uwanja ethiopia imekuwa kitovu kwa ndege kuishia hapo,dubai nayo na kaharibu kabisa maana kama ni kitovu.
Sasa unashangaa shangaa nini? Anachosema huyo jamaa ni kweli kwa asilimia kubwaReally?
Usiwaamini sana members wa JF. Siku hizi kuna matepeli wengi humu mkuuSasa unashangaa shangaa nini? Anachosema huyo jamaa ni kweli kwa asilimia kubwa
tena ni wengi saaanaUsiwaamini sana members wa JF. Siku hizi kuna matepeli wengi humu mkuu
Muoe basi daaah maana kila sehemu unamtaja taja yeye
Inatua Nairobi .Hata Britush airways kutoka Dar to London imeota mbawa sijui kwann aisee
Kuna tapeli mmoja humu JF alitaka kuniuzia smartphone feki tulikubaliana tukutane ubungo.tena ni wengi saaana
Mimi nimeibiwa 20,000/= na demu mmoja wa humu humuKuna tapeli mmoja humu JF alitaka kuniuzia smartphone feki tulikubaliana tukutane ubungo.