Nini kiliua safari za moja kwa moja za mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines na Lufthansa?

Hata Britush airways kutoka Dar to London imeota mbawa sijui kwann aisee
 
Mafuta ya gharama nafuu na ndege za kisasa
 
Naweza ongezea
1•geographic
Hii imechangia sana kufanya ndege nyingi kutofika mfano uwanja ethiopia imekuwa kitovu kwa ndege kuishia hapo,dubai nayo na kaharibu kabisa maana kama ni kitovu.
 
Hata Britush airways kutoka Dar to London imeota mbawa sijui kwann aisee
Inatua Nairobi .

Iliacha kuja Dar sababu walisema usalama wa uwanja ni mdogo maana kuna watoto walikua wanavuka seng'eng'e kule kitunda wanaingia airport.

Ikabd serikali iweke ukuta.....lakini hawakurudi sijui wanataka roho zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…