T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sababu nyingine kubwa Rwanda wanataka kufanya diversification wasitutegemee sisi pekee. Yasijekutokea ya Uganda ya Iddi Amin kubaniwa importation na Kenya ya Jomo K.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kuleta matumaini, mmehamia agenda kwenye SGR tenaWamiliki wa DPW walianza kusaini mikataba na Raiis Tshisekedi kule DRC wakaja kwa Kagame kisha wakamaliza na Samia, ni biashara kubwa sana ya logistics inakwenda kufanyika baada ya SGR kuwa imekamilika kujengwa.
Wakati unahoji hayo, Rais wa Kenya Mh. William Ruto ameipongeza Tanzania kwa kuizidi ya nchi yake kwenye masuala mazima ya kibiashara kwenye Kanda ya Afrika Mashariki.Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo.
Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii akijibu hoja na maswali mbali mbali kwa namna ya uharaka aliouonesha kwenye jambo hili.
Rwanda ni nchi ambayo kijografia, inaifanya kutegemea nchi nyingine ili kupata mizigo yake inayopitia baharini.
Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria.
Siku za nyuma Rwanda baada ya DRC ndiyo ilikuwa nchi inayoitegemea Bandari ya Dar es salaam kusafirishia mizigo yake kutoka na kwenda Rwanda.
Lakini baadae Rwanda ikaleta sera kwamba nchi hiyo isiwe tegemezi wa kupitishia mizigo kwenye nchi moja. Hivyo ikaanza kupitishia mizigo yake na Kenya pia.
Lakini ndani ya mwaka mmoja mambo haya yametokea. Kwanza shehena ya mizigo kupitia Kenya imeongezeka na mizigo inayopitia Tanzania imepungua.
Mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 121.45 sawa ongezeko la asilimia 361.43 (361.43%) imepitia Kenya ukilinganisha na Oktoba Mwaka jana 2023.
Idadi hiyo ya mizigo kupitia Kenya unaifanya nchi hiyo kuwa ya pili nyuma ya China ambayo imeingiza Rwanda mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani 142.08 sawa na ongezeko la 34.95% .
Kwa Tanzania uingizaji wa mizigo Rwanda kupitia Tanzania umekuwa ukipungua kwa karibia 39.04% kwa msingi wa mwezi kwa mwezi na kwa mwaka mzima uingizaji mizigo Rwanda kupitia Tanzania umepungua kwa 30.16%.
Ukilinganisha Mwezi Oktoba 2023, Rwanda imepitishia Tanzania Mizigo yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 57.38 pekee.
Wazee wa kushinda 99% nini kinaendelea hapa.
Naona umempa na source kabisaNational institute of statistics of Rwanda. "Formal external trade on Goods" .
Chakarika.
Kufanya biashara na uingizaji na usafirishaji wa mizigo ya Rwanda vinafanana?Wakati unahoji hayo, Rais wa Kenya Mh. William Ruto ameipongeza Tanzania kwa kuizidi ya nchi yake kwenye masuala mazima ya kibiashara kwenye Kanda ya Afrika Mashariki.
The lesson is, we should not take customers for grantedRwanda has made a surprising shift in its trading preferences, with Kenya overtaking Tanzania to become the country’s second-largest source of imports after China.
This marks a significant change in the regional trade dynamics, as Tanzania had long been Rwanda’s primary partner due to its geographical proximity and the role of the Dar es Salaam port.
According to the October 2024 Formal External Trade in Goods report by the National Institute of Statistics of Rwanda (NISR), imports from Kenya reached $121.45 million, representing a 361.43% increase compared to October 2023.
This places Kenya behind only China, which accounted for $142.08 million in imports, a 34.95% rise over the same period. In contrast, imports from Tanzania fell to $57.38 million, marking a 39.04% month-to-month decline and a 30.16% year-on-year decrease.
Several factors appear to be driving Rwanda’s growing preference for Kenya as an import partner.
Rwanda and Kenya have strengthened ties, influenced by improved relations and efforts to reduce trade barriers. In contrast, tensions in the region may have reduced Rwanda’s reliance on Tanzania as a transit route.
Rwanda’s government has encouraged diversification of trade routes to mitigate risks associated with over-reliance on a single country. The Northern Corridor, which runs through Kenya, is increasingly being utilized for imports.
The shift in Rwanda’s trade dynamics with Tanzania is further complicated by rising trade tensions, particularly surrounding Rwanda’s dairy exports. Tanzania has recently imposed various Non-Tariff Barriers (NTBs) on Rwandan milk, disrupting a historically vital trade relationship.
Tanzania has reportedly blocked the entry of Rwandan milk under the guise of meeting local regulatory and quality standards. These barriers have effectively shut out Rwandan dairy products from Tanzanian markets, despite Rwanda meeting East African Community (EAC) standards.
Source kt rwanda
Daud26 hapo juu nadhani amejitahidi kufafanua vizuri nampongezaKufanya biashara na uingizaji na usafirishaji wa mizigo ya Rwanda vinafanana?
Nakupa muda ulete ushahidi wa ukubwa (Volume) biashara tuliowazidi Kenya.lNa ulete pia na ukubwa wa thamani ya biashara hiyo.
Abilia.....vs......abiriaUnajua leo Treni la abilia limezima Tena pwani ?
Abilia tu shida mizigo ndio mtaweza? Ninaashaka makubwa na utendaji mipango wabongo tunaongiza Ila utendaji sasa
PK anatuzuga tuWakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo.
Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii akijibu hoja na maswali mbali mbali kwa namna ya uharaka aliouonesha kwenye jambo hili.
Rwanda ni nchi ambayo kijografia, inaifanya kutegemea nchi nyingine ili kupata mizigo yake inayopitia baharini.
Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria.
Siku za nyuma Rwanda baada ya DRC ndiyo ilikuwa nchi inayoitegemea Bandari ya Dar es salaam kusafirishia mizigo yake kutoka na kwenda Rwanda.
Lakini baadae Rwanda ikaleta sera kwamba nchi hiyo isiwe tegemezi wa kupitishia mizigo kwenye nchi moja. Hivyo ikaanza kupitishia mizigo yake na Kenya pia.
Lakini ndani ya mwaka mmoja mambo haya yametokea. Kwanza shehena ya mizigo kupitia Kenya imeongezeka na mizigo inayopitia Tanzania imepungua.
Mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 121.45 sawa ongezeko la asilimia 361.43 (361.43%) imepitia Kenya ukilinganisha na Oktoba Mwaka jana 2023.
Idadi hiyo ya mizigo kupitia Kenya unaifanya nchi hiyo kuwa ya pili nyuma ya China ambayo imeingiza Rwanda mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani 142.08 sawa na ongezeko la 34.95% .
Kwa Tanzania uingizaji wa mizigo Rwanda kupitia Tanzania umekuwa ukipungua kwa karibia 39.04% kwa msingi wa mwezi kwa mwezi na kwa mwaka mzima uingizaji mizigo Rwanda kupitia Tanzania umepungua kwa 30.16%.
Ukilinganisha Mwezi Oktoba 2023, Rwanda imepitishia Tanzania Mizigo yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 57.38 pekee.
Wazee wa kushinda 99% nini kinaendelea hapa.
Kwani dp world ndo inajenga reli?Wamiliki wa DPW walianza kusaini mikataba na Raiis Tshisekedi kule DRC wakaja kwa Kagame kisha wakamaliza na Samia, ni biashara kubwa sana ya logistics inakwenda kufanyika baada ya SGR kuwa imekamilika kujengwa.
Hizo ni propaganda tu hata hivyo mteja akigoma bidhaa yako huwezi kung'ang'aniaKuna shida bandarini na hasa utaratibu wa kutoa mzigo tena kwa gharama kubwa. Kingine ni ubovu wa barabara zetu hasa kipande cha kutoka Nyakanazi hadi kuipata border ya Rusumo. Barabara ile iko kwenye hali mbaya kwa zaidi ya miaka 6 sasa.
Japo kuna umbali mrefu kwa mzigo wa Rwanda kuingizwa kutokea Kenya na Uganda, unafuu uko kwenye ubora wa barabara za nchi hizo tatu ukilinganisha na barabara zetu. Ukiritimba na janja janja ya bandari na border post zetu inaweza kuwa sababu ya wanyarwanda kuamua kutumia bandari ya Mombasa.
Huko kusini pia hakuko salama, Malawi wako kwenye mchakato wa kuangalia uwezekano wa kuitumia bandari ya Beira zaidi na kwa mbali naona wakijaribu kufanya window shopping kwenye bandari ya Mtwara. Zambia huenda wakajiunga na Malawi kwenye mpango huo. Burundi pia wakati wa Nkurunziza walikuwa na mpango wa kujenga barabara na reli kwenye mwambao wa magharibi ya ziwa Tanganyika ili mizigo yao ipitie Kapirimposhi na Lubumbashi.
Tuendelee tu kutekana na kuuana wakati wengine wakipanga mipango imara ya kunusuru nchi zao kiuchumi.
Hizi siyo fikra bunifu na za kimaendeleo. Si ajabu kwa fikra kama hizi mashirika mengi ya Umma yalikufa.Hizo ni propaganda tu hata hivyo mteja akigoma bidhaa yako huwezi kung'ang'ania
Unajua nchi nyingi hazipendi kuwa tegemezi Kwa bandari mojaHizi siyo fikra bunifu na za kimaendeleo. Si ajabu kwa fikra kama hizi mashirika mengi ya Umma yalikufa.
Sasa sisi kama Taifa si tunatakiwa tuongeze kiwango chetu badala ya kupungua?Unajua nchi nyingi hazipendi kuwa tegemezi Kwa bandari moja
Ahahahahaha! Dogo inawezekana una data za Kenya kuliko The Sitting President of Kenya! Ahahahahaha!!!Kufanya biashara na uingizaji na usafirishaji wa mizigo ya Rwanda vinafanana?
Nakupa muda ulete ushahidi wa ukubwa (Volume) biashara tuliowazidi Kenya.lNa ulete pia na ukubwa wa thamani ya biashara hiyo.
Ok. Hizi pia ni propaganda? watu wanazungumzia uzoefu with facts, wewe unafunika ukweli chini ya carpet? 😳Hizo ni propaganda tu hata hivyo mteja akigoma bidhaa yako huwezi kung'ang'ania
Sitting president ndiyo nini bwana.Ahahahahaha! Dogo inawezekana una data za Kenya kuliko The Sitting President of Kenya! Ahahahahaha!!!