Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

Wakati unahoji hayo, Rais wa Kenya Mh. William Ruto ameipongeza Tanzania kwa kuizidi ya nchi yake kwenye masuala mazima ya kibiashara kwenye Kanda ya Afrika Mashariki.
 
National institute of statistics of Rwanda. "Formal external trade on Goods" .

Chakarika.
Naona umempa na source kabisa

Btw, Rwanda mbona haipo connectected na Ziwa Victoria, nanukuu paragraph ya 4 kama ulivyoandika

"Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria."
 
Wakati unahoji hayo, Rais wa Kenya Mh. William Ruto ameipongeza Tanzania kwa kuizidi ya nchi yake kwenye masuala mazima ya kibiashara kwenye Kanda ya Afrika Mashariki.
Kufanya biashara na uingizaji na usafirishaji wa mizigo ya Rwanda vinafanana?

Nakupa muda ulete ushahidi wa ukubwa (Volume) biashara tuliowazidi Kenya.lNa ulete pia na ukubwa wa thamani ya biashara hiyo.
 
The lesson is, we should not take customers for granted

Hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasriamali kwa undani nilikuwa najidai kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kumbe si kweli
 
PK anatuzuga tu
 
Wamiliki wa DPW walianza kusaini mikataba na Raiis Tshisekedi kule DRC wakaja kwa Kagame kisha wakamaliza na Samia, ni biashara kubwa sana ya logistics inakwenda kufanyika baada ya SGR kuwa imekamilika kujengwa.
Kwani dp world ndo inajenga reli?
 
Hizo ni propaganda tu hata hivyo mteja akigoma bidhaa yako huwezi kung'ang'ania
 
"Kuwa mzalendo....
Unga mkono juhudi...."

Haya si maoni yangu ,nimesikia backbencher huko akisema.....
 
Kufanya biashara na uingizaji na usafirishaji wa mizigo ya Rwanda vinafanana?

Nakupa muda ulete ushahidi wa ukubwa (Volume) biashara tuliowazidi Kenya.lNa ulete pia na ukubwa wa thamani ya biashara hiyo.
Ahahahahaha! Dogo inawezekana una data za Kenya kuliko The Sitting President of Kenya! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…