Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

Upinzani nchi hii hamna kitu. Ni bora tu CCM waendelee kulamba asali. Wenyeviti wake ni madikteta, wengi wako vyamani zaidi ya miaka 20. Sasa watu hao utaanzaje kuwapa nchi, utakuwa kichaa mkubwa.
Upinzani sio Taasisi ni Ideology, na uko hata levo za Familia, Upinzani hauwezi kuumaliza hata kwa kuua watu, rudi shule ulio sa dai ada, ilipotea bure
 
Chadema ni mradi wa kupiga pesa hawana lolote wanamtumia lissu [emoji23][emoji23][emoji23]na mwenywe anajua ...Bongo hamna chama cha upinzani ni wachumia tumbo.
Upinzani kwani ni watu au taasisi? We ni mjinga na umeandika ujinga, ila wajinga wenzako wanaweza kusapoti
 
Upinzani soo mtu wala Chama ni Ideology, upinzania upo hadi Family levol na huwezi ua Upinzani, saaa mlivyo wajinga mnazania Upinzano ni mtu

Kweli mkuu endelea kuwaelimisha . Watu wanadhani upinzani ni Lissu au Mbowe. Upinzani ni jambo pana sana.
 
Tofautisha chama kushika madaraka na mtu mmoja kushika madaraka. Na chama cha siasa ni taasisi ya umma, huwezi sema ifanye inachotaka kwa sababu hakipo bungeni na serikalini. Unafiki mkubwa ni kudhani kuwa udikteta ni mbaya ukifanywa na wengine, ila mzuri tukifanya sisi.
 
Upinzani sio Taasisi ni Ideology, na uko hata levo za Familia, Upinzani hauwezi kuumaliza hata kwa kuua watu, rudi shule ulio sa dai ada, ilipotea bure
Nani kataka kumaliza upinzani? Usije kuwa wewe unajiita upinzani ndiye hutaki kusikia upinzani, maana hutaki kusikia kuwa vyama vya upinzani ni vya kihuni na kidikteta.
 
Ulivyo na akili mbovu unaandika kwa kuchekelea kana kwamba kuwepo kwa chama kikuu cha upinzani ni faida kwa chama chenyewe na si faida kwa mwananchi.
 
A two headed serpent hypocrite Wilboard Slaa, yoyote anayeamini kuwa anafaa kuwa kiongozi itakuwa hana akili timamu. Mwanzoni kabla hajajulikana his true colors yeah lakini si baada ya hapo, bora huyo Mmasai Lowassa kwani ukitoa kwamba ni 'ntu ya dili' and that he was over ambitious lakini si mjinga mjinga kama Slaa asiyejielewa.
 
Chadema bado kipo sana na kitaendelea kuwepo.
The funny shit ni kwamba aliyetumia nguvu nyingi na kila ya recourses kukiua amekufa yeye na Chadema kiko hai.
 
One of the CCM icons.
 
Nitaamini chadema imekufa indapo utafanyika uchaguzi huru na wa haki chini ya tume huru ya uchaguzi halafu CHADEMA washindwe kapata wabunge 150 wa kuchaguliwa. Hayo mangine yote uliyoyasema ninaona ni porojo tu za kujifariji
 
Mnawaita chadema mandonga, ila mlizuia mikutano kuwaogopa na siku ya kupiga kura 2020 mkazima mtandao wa internet.
Mwana uchumi kweli unaamini kabisa Chadema wanaweza kutawala? Chadema kama mchezaji mpira kwenda Kagera au Mtibwa kutengeneza jina akipata ndoto kwenda Simba au Yanga. Akikosa huko ndio utamkuta Lindi au Singida united.
 
AKILI NDOGO hiyo kama CHADEMA IMEKUFA ina Maana RAIS SAMIA alikuwa anafanya MARIDHIANO na TLP?
 
Wamejiua wenyewe kwa tamaa zao
  1. Mbowe
  2. Lissu
  3. Lema
  4. Msigwa
  5. Mnyika
Walisimama majukwaani kusema Lowasa fisadi papa, ndimi hizohizo zikaja kusema Lowasa safiiiii👍🤣


Utamwamini mtu wa hivi?
Utamuelewa?
 
Chadema haijafa bado ipo hai ila moja ya sababu kubwa inayopelekea Chadema kuwa chama dhaifu ni pale walipoamua kuukana ukweli wao wenyewe kwakutaka kumsafisha fisadi waliyezunguka Nchi nzima kumtukana!!. Ujio wa Eddo 2015 ndani ya chadema uliondoa uaminifu hasa kwa watu wenye uelewa mpana juu ya siasa zetu wakaona Chadema na viongozi wao wakuu hawapo kwaajili ya Tz bali wao kwanza, mpaka Leo ukimfuata mwanachadema ukamuuliza ni sababu zipi ziliifanya Chadema kumpokea Eddo hawawezi kukupa... Kuanzia hapo watu timamu wakaona hamna la maana zaidi ya ubabaishaji mtupu.
Sababu nyingine ni utawala wa Magufuli na uchaguzi wa 2020, magufuli alikuwa na nia hasa yakuiondoa Nchi kwenye mfumo wa vyama vingi kuipeleka chama kimoja. Siku zote uhai wa chama cha siasa ni kufanya siasa na kuuza sera zao kwa wananchi, Chadema na wapinzani wengine hawakupata tena hiyo fursa automatically Nchi ikabaki kusikia sifa na mapambio yanayoimbwa juu ya chama kimoja Cha CCM chini ya Magufuli.
Pia kutokuwa na ukomo wakiuongozi kwa kiongozi mkuu wa chama, hii inadhoofisha na inaondoa uhalisia wa chadema na wanachokipigania hasa ni Demokrasia ipi wanayoitaka wao?, Haiwezekani mtu mmoja ndio akawa Bora kwa vipindi vyote vya zaidi ya miaka 15 bila kuachia ngazi ili Chadema ipate kiongozi mwingine ambaye nae atatoa dira na mwenendo mpya kuhakikisha wanachukua dola.
Ukiwasililiza Chadema wanavyoimba suala la kujenga taasisi imara za kiuongozi kuliko kumjenga mtu au kimtegemea mtu imara kwa mbaali utawaona wapo siriasi lakini hebu tafakari wao Wana hizo taasisi imara? Kama wanazo Kwanini FAM haachi uongozi?, Jibu lao ni jepesi sana eti mwamba tuvushe!! Mara eti hanunuliki kinachoshangaza ni Kumbe Chadema sio chama cha kitaasisi bali ni chama kinachotegemea maamzi ya mtu mmoja. Ili Chadema ichukue dola inahitaji ipate kiongozi kijana tena asiyemwoga.... Huyu Mbowe ni mandonga mtupu aliyepata umaarufu kupitia mgongo wa Dr slaa na kazi nzuri za vijana wa chadema.
 
Hivi kumbe ilikuwa haijafa tu? Mbona toka 2000 tunaambiwa imekufa? Anglia utakufa wewe utaiacha maana hata jiwe alidhani ameiua akafa yeye
 
Andiko refu lakini pumba tupu
 
CHADEMA HAIJAFA NA KAMWE HAITAKUFA

Huu ndiyo ukweli ninaouamini kama CDM iliendelea kuwepo wakati ule waliponunuliwa kina silinde,yule dogo wa kule meru,aliyekuwa katibu mkuu cdm,katambi na wengine wengi unafikiri saa hizi ndiyo inalufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…