Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Jeshi linaibiwa hadi Bus zake na ccm 😂 ila hayana akili kabisa haya iyo helicopter amna mtu binafsi alie nayo Tz zaidi ya Jw hawakujua hili ?
 
Miaka yote askari wote hupigia kura chama tawala. Wala hawahitaji kuunganosha na mifumo ya NIDA.
Umeweka uongo, miaka yote Askari wote hupigia kura chama tawala? Hiko kitu hakiwezekani sababu mtu anapopiga kura huwa ni Siri yake

Pili, haiwezekani kundi kubwa kama hilo lote likapigia kura chama kimoja, hata wanaccm wenyewe tu sio wote hupigia kura ccm. Nature inakataa ulichoandika, labda ungesea walio wengi na sio neno wote
 
Kila wakati nilikuwa nauliza hapa hivi jeshi haluoi haya Kwann lisichukue hatua🥲 unfortunately 🤷
 
Hapa tuombe hawa jamaa wanogewe na siasa, huenda nao wakatqmani siku moja kuwa marais.
Ukombozi unakuja kwa namna nyingine.
 
Nime conduct OSINT kwenye hili, hakuna publick records zinaonyesha tanzania airforce ina miliki Mil Mi 17 helicopter

Close report ni kwamba 2016, tanzania ili approach russia for purchase ya hiyo hilicopter, but deal lilichelewa and wakachukua france made airbus H225, H125, H215

Currently kuna makampuni private yanamiliki Mil mi -17 na unaweza kukodi

Kuna kampuni kenya afriFlite na nyingine ya uganda.
Based on picha ya kwanza hiyo marking ya helicoptwr si ya tanzania airforce
 
Huu ni uchochezi usio na kichwa wala miguu,hata jeshi letu lingekua la migambo tupu haliwez toa ndege za kivita Kwa ajili ya kampein ,tuheshim jeshi letu jaman
 
Maadisa PEO waliondolewa baadae, generation ya akina JK ndio ilikuwa ya mwisho mwisho kwenye hizo nafasi.
Ulikuja utaratibu mpya wa kutoka kuhusishansiasa na shughuli za jeshi, kwa wale wali serve baada ya mabadiliko hayo wanaelewa. Na hii ilitungiwa sheria rasmi

Hapo hamna helicopter ya jeshi yenye mark ya tanzania airforce, watu wamekuwa emotional sana kuamini kila picha inayotumwa
 
Huu ni uchochezi usio na kichwa wala miguu,hata jeshi letu lingekua la migambo tupu haliwez toa ndege za kivita Kwa ajili ya kampein ,tuheshim jeshi letu jaman
Watu wanaingia mkenge kirahisi bila kufanya research, wajue hata marking za ndege la jeshi lao
 
Anzisha wewe mkuu itapendeza zaidi
 
Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?

Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)

Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
Ujinga tu
 
Jeshi la Kenya kuliona labda wakiwa kwenye gwaride.Tanzagiza wao kila mara kwenye vyombo vya habari utadhani ni idara ya chama cha mambuzi,unataraji nini kitatokea!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…