Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Jeshi linaibiwa hadi Bus zake na ccm πŸ˜‚ ila hayana akili kabisa haya iyo helicopter amna mtu binafsi alie nayo Tz zaidi ya Jw hawakujua hili ?
Nguvu nyingi, akili kisoda
 
Kenya na Uganda ni Majeshi na Wizara ndo zinamiliki hizi ndege.

Tuseme CCM wameikodi kutoka Majeshi ya Kenya au Uganda?
 
Kwa maelezo haya Uzi ufutwe.

No kweli sio tu Uganda hata Cuba hapo Havana Kuna Shirika la kiraia linazitumia kusafirishia abiria. Aerogaviota. Linapiga route Hadi Jamaica siku nyingine.
Wasijewakamfanya Mzee wa wahuni akatengeneza kaklip la fastafasta kuwabagaza wanaccm wenzake.
 
Kenya na Uganda ni Majeshi na Wizara ndo zinamiliki hizi ndege.

Tuseme CCM wameikodi kutoka Majeshi ya Kenya au Uganda?
Kuna kampuni binafsi zinamiliki, kenya ina mfumo tofauti wa kiutawala si jeshi or serikal ndio ina uwezo huo

Kuna makampuni yanatoa services and they own hiyo model
 
Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
Pole pole ni chizi flani kama wewe na ndio maana kapuuzwa anasikilizwa na wehu wa Chadomo tu.
 
Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
Viapo vyao vipo hivi; watakuwa watiifu kwa "Raisi" na Chama tawala,Watalinda Maslahi ya chama,over.
 
Naam watu hawatafuti details aisee wakajua ukweli, wana respond tu kwa hisia
 
Tatizo usilolijua, hizo picha, videos na taarifa za kutoka ndani ya jeshi zinatolewa na wanajeshi wenyewe wasio kubaliana na yanayoendelea, na kinachoendelea, kuna taarifa nyingi za siri za jeshi zitamwagwa hadharani ili kumtumbukiza kwenye shimo zaidi uyu mkuu wa majeshi, watu wamechoka mkuu, na wanajeshi nao ni watu, wameshindwa vumilia huo upuuzi mpaka wanatuma videos kwa mangi kimambi, unafikiri hao ni raia?, ni wanajeshi, hii ngoma ilipofikia ni kupigishana shoti wenyewe kwa wenyewe, the last man standing ndo mshindi, Mama anaweza kutoboa hii 2025, ila kufika 2030 sina uhakika.
 
Naam watu hawatafuti details aisee wakajua ukweli, wana respond tu kwa hisia
Mimi niliiona nikashtuka siku ya uzindizi ila kuja kufuatilia ziko dunia nzima kama ndege za kiraia tu. Nikakumbuka jamaa wanampunga kama B50 hivi hawashindwi kukodi hata nje ya nchi.
 
Kwa makusudi kabisa unataka kuongopa
Hii aliyotumia waziri wa ujenzi ni Nini?
 
Mimi niliiona nikashtuka siku ya uzindizi ila kuja kufuatilia ziko dunia nzima kama ndege za kiraia tu. Nikakumbuka jamaa wanampunga kama B50 hivi hawashindwi kukodi hata nje ya nchi.
Nyie watu ni either kea makusudi au kwa kutokujua mnaamua kuongopa
Hiyo helicopter ipo na mawaziri wengi hutumia kwenye kukagua miradi, bashe aliitia, nape aliyotumia, bashingwa aliitumia, waziri mkuu alitumia na hivi karibuni waziri wa ujenzi ulega aliitumia
 
Nilitaka kusema kitu kuhusu CDF Mstaafu Mabeyo na PM Majaliwa kuhusiana na amri ya PM ya kukamatwa yule Generali na reaction ya CDF Mabeyo.
Ila nimekumbuka kuwa Bw. Melo na jamii yake wameshakuwa compromised.

Mimi nina uhakika nchi hii ikiingia vitani leo na adui tutashindwa vibaya sana, jeshi letu linajua kabisa kikosi kilichoundwa na wabaya na kunahusika kuwateka na kuwalawiti wananchi ila lipo kumya tu. Ma Generali wetu msidhani kuwa kukaa kimya mnaonekana kama watendaji wazuri huku kuna waTanzania wanatekwa na kutendewa kinyume na utu wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…