City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu huzijui vizuri hizi helicopter.Hiyo ni airbus H225M
Hoja ya kpuuzi sana hii.Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?
Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)
Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
Kama pamejazwa stika kila mahali utaonaje? Au ukavae miwani kwa mzee wa kujaza gas kwa kupuliza ndo utaona!!Jamani acheni uchochezi wa kijinga, nilikuwa nakodoa macho sehemu iliyoandikwa JWTZ kwenye helicopter, sijapaona. Ni ndege ya jeshi gani?
Maelezo yake hayana ukweli. Kenya hizo ndege zinamilikiwa na Serikali. So Serikali ya Kenya ndo wamekodisha kwa CCM?Kwa maelezo haya Uzi ufutwe.
No kweli sio tu Uganda hata Cuba hapo Havana Kuna Shirika la kiraia linazitumia kusafirishia abiria. Aerogaviota. Linapiga route Hadi Jamaica siku nyingine.
Wasijewakamfanya Mzee wa wahuni akatengeneza kaklip la fastafasta kuwabagaza wanaccm wenzake.
View attachment 3461242
KumbeAnayegombea urais ni Amri Jeshi Mkuu🐼
Ni suala la muda tu kisha atajibu maombi ya wenye haki.MUNGU aingilie kati.
Mhu!Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Hawawezi kukuelewa hawa wehu wanafikiri madaraka utapewa kwenye sahaniHahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?
Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.
Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.
Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.
Amkeni.
Gwajima na Lissu plus watu wote wemye akili zaidi ya wana mtandao hawatakiwi!Ndio maana Gwajima anasema vyombo vya dola vijitegemee
He is Futuristic
Hapo mleta mada ndiye anatakiwa kulaumiwa au katiba na walinzi wa hiyo katiba kwa maslahi yao?Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?
Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)
Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
Tatizo liko hapo,yaani mtu anagombea Urais huku akiwa ni Rais,mwenyekiti wa chama na nguvu nyingine.Tatizo hilo.mkuu wa majeshi ni handpicked na Rais ambaye ni amirijeshi mkuu (boss of bosses), CDF atakataaje amri ya bosi wake?? tatizo ni mfumo ulivyo, rais hata akiwa ana kampeni ya kuingia next term, yey bado ni amirijeshi mkuu, it is complicated than we think
exactly, na timu ya ma-refarii (tume ya uchaguzi) inajibu kwakeTatizo liko hapo,yaani mtu anagombea Urais huku akiwa ni Rais,mwenyekiti wa chama na nguvu nyingine.Tatizo hilo.
Kilakitu anacho,niyeye tu kutumia.Katiba hii ina tatizo kubwa sana.exactly, na timu ya ma-refarii (tume ya uchaguzi) inajibu kwake
Nipe location nije na familia yangu kabisaHahaha unafurahisha sana, unataka mageuzi hutaki kijitolea kuyapigania.
Karibu kambini upate mafunzo sahihi achana na vyama vya siasa unapotezwa.
Kwa hiyo kama Samia bado ni Rais ndo wapeleke vijana wao kwenye mikutano ya CCM?Hapo mleta mada ndiye anatakiwa kulaumiwa au katiba na walinzi wa hiyo katiba kwa maslahi yao?
Mkuu hiyo ndio sura halisi ya jeshi letu tulilonalo sasa, limesheheni MAKADA wa CCM mtupu. Kwa bahati mbaya sana Jeshi hili la kipuuzi limetumia muda mrefu mno KUWAHADAA na KUWALAGHAI Wananchi kwa kujiita kwamba ni Jeshi la Wananchi, wakati ukweli upo wazi kabisa.Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.