uliyopost ni Airbus H225Mkuu huzijui vizuri hizi helicopter.
Airbus h225m ni modern kabisa na ya gharama kwenye kila kitu maintenance hadi operation
Mi 17 ni za kizamani za mrusi, maintenance yake na operation yake ni cheap.
Na ndio hutumiwa kwenye ziara za hao mawaziri. Ndio hizo nape alikua akitumia kukagua anuani ya makazi, January makamba alitumia kukagua bwawa, bashungwa akikagua madaraja, ulega ne huitumia
Hapo bilioni 30 zimekatika kuonyesha tu hicho kibendera kikiwa na koroboiTaasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Kuna silaha, au baadhi ya vyombo vya usafiri ambavyo hutumika na jeshi tu. Huwezi kukuta hata sekta zingine za ulinzi na usalama wanatumia. Mfano polisi watumie grenade za nini? Au polisi wana mamlaka ya kutumia ndege za kivita?. Sasa kwanini Chama cha siasa kitumie helicopter yaki vita? Haiwekani.Hivi CCM hairuhusiwi kununua chopa ya military class kama hiyo
Inaelekea CDF Gen Mkunda ameshalamba asali, kayapata mabegi ya Abdul. Lakini huo ni ukiukaji mkubwa sana wa maadili ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Tulitegemea Loliondo ingerejeshwa na Jeshi letu, lakini kama muonavyo. Tulitegemea DP WORLD wangeonywa na TPDF ili nchi isiporwe. Lakini TPDF ni chura kiziwi. Ngorongoro crisis tulitegemea mngekemea kijeshi. Mmekuwa viziwi. Raia kumiliki silaha za kivita kontena zima jeshi kimya kama bubu kiziwi. Je tutegemee ulinzi wa rasilimali zetu alinde nani ikiwa wanasiasa wamekengeuka kiasi hicho? Mnajifanya hamuoni, hamsikii???Jeshi kujihusisha na siasa ni suala la hatari sana.
Chezea vyoooote, ila siyo jeshi.
Wananchi wakishakosa imani na jeshi tu, nchi inakuwa haiko salama.
Naskia wakuu wote wamelambishwa.Inaelekea CDF Gen Mkunda ameshalamba asali, kayapata mabegi ya Abdul. Lakini huo ni ukiukaji mkubwa sana wa maadili ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Tulitegemea Loliondo ingerejeshwa na Jeshi letu, lakini kama muonavyo. Tulitegemea DP WORLD wangeonywa na TPDF ili nchi isiporwe. Lakini TPDF ni chura kiziwi. Ngorongoro crisis tulitegemea mngekemea kijeshi. Mmekuwa viziwi. Raia kumiliki silaha za kivita kontena zima jeshi kimya kama bubu kiziwi. Je tutegemee ulinzi wa rasilimali zetu alinde nani ikiwa wanasiasa wamekengeuka kiasi hicho? Mnajifanya hamuoni, hamsikii???
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
KabisaGwajima na Lissu plus watu wote wemye akili zaidi ya wana mtandao hawatakiwi!
JK na Rostam & Co ni maadui wa taifa!
Kazibya Mungu ninkukupa uwezo wakutambua lipi sahihi na lipi sio, ila uamuzi ni wakoMUNGU aingilie kati.
Jeshi kwa sasa liko chini ya muhamiaji kutoka Iran Rostam Aziz akishirikiana na mbia wake in crime jambazi la Msoga kwani wao literally ndiyo viongozi wa nchi na CCM, bi Urojo anapelekwapelekwa kwani hao wahuni anaamini ndiyo watamlinda kwenye safari yake yote ya urais na alimradi na yeye anajichotea atakavyo she doesn't give a damn nchi analiwa kwa kiasi gani.Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Kwabiyo hapo linapeperusha bemdera ya CCM na kutoa heshima kwa mwenyekiti wa CCM.Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?
Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)
Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
Na bado, tutakuja kuchapika maana wahuni kina Rostam na Singasinga wao wana passport 4.Ndo maana Kagame anatupa kichapo mpaka tumekimbia kwa ajili ya huu usenge 😅🤣🤣🤣🤔🤔
Ccm mbele kwa mbeleTaasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Dah,dah ,dahKwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?