careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Kwel ujana anaoHapana dogp alizengua na alikua anaelekea kumchafua bi mkubwa kwa tamaa zake … pamoja na kuwa akiongea utajua huyu mtu ana madhaifu ya ujana pia … akijirekebisha atakuja kuwa kiongozi mzuri ila kwa sasa hajakomaaa kushika wozara Nyeti
Weeeee yule bwana jeuri imelala pale haezi fanya mambo hayo doh!Mchengerwa atafua, kupika na kuosha vyombo. Na kuchelewa kurudi nyumbani marufuku.
Hiyo Ni indiketa aseme nyee nyee aone.
Khaaaa siyo kwelAkiwa nyumbani alijaribu kumpiga mtoto wa mama kwhyo mtoto kaenda kushtaki kwa mama yake Ikulu na mama kampa Mchengerwa last warning na kumuondoka katika wizara ya karibu na yeye
Mmmh!alifanya kosa gani???Tena ashukuru mama ana huruma maana kosa alilofanya alistahiri kuwa tu mjumbe wa
nyumba kumi
Sema alinifurahisha baada tu ya kuona mjomba kafa akaomba radhi uma chap!Kumbe Hery James Ni wale wale anamwita mwendakuzimu mjomba. Ndio maana dogo alikua na kiburi Cha kupitiliza. Ni muda muafaka wa kujitafakari maana taa imezimika
ISSManjagu ndio mafisadi? Maana yule bwana hajui kupepesa
Nadhani ufinyu wa bajet unachangiaNi sababu hatujaweka kipaumbele kwenye michezo kama moja ya sekta kubwa inayochangia mapato na kama sekta inayoweza kunyanyua sekta nyingine Kama utalii wa kimichezo, cultural tourism etc.
Huyu dogo si ndiye aliyekuwa anawambia maaskofu kuwa fungeni midomo yenu.Sema alinifurahisha baada tu ya kuona mjomba kafa akaomba radhi uma chap!
Hii nayo ipo.Nadhani ufinyu wa bajet unachangia
Hajawahi kuwa ofisi ya Waziri mkuu ever since, namfahamu toka tunamaliza shule Iringa huko na mpaka tunaajiriwa yeye akapata kazi ya uhakimu akapangiwa kitio Mbeya mjini .Mbona nilisikia hata yeye ni tiss? Na alikua kwenye kitengo cha waziri mkuu kipindi kile wanamfundisha dini cjui?
Ana wake watatu tena huyu ndio mdogo na wameoana kabla hata mama kuwa Rais.Kwa hiyo hata kuongeza mke kama Jaffo hataweza! Atabaki na kamke kamoja tuu,Dah!
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Weeeee yule bwana jeuri imelala pale haezi fanya mambo hayo doh!
Umri ule anawake watatu?Ana wake watatu tena huyu ndio mdogo na wameoana kabla hata mama kuwa Rais.
Amekwishaongeza mke tayari, na hapo ndiyo kuna mgogoro mkubwa. Hata tuhuma za uchawi zinahusikaAongeze mke?
Hebu sema Tena?
Ndio mnoko?Yule maza kikotoo
Jaman alikua na mke mmoja tu tena walikua hawaelewani ndiyo akamuoa wanou hao watatu wa lini tena?Ana wake watatu tena huyu ndio mdogo na wameoana kabla hata mama kuwa Rais.
Naeza kuamini! Niongezee nyama kidogo bas! Ila nachojua jamaa ni mshirikina na ni jeuri atar! Maskin wanou mpoleee japo kawivu kamelala pale lakini ni mtu wa kurizika tu, ila na wanou si aliolewa akaachika?Amekwishaongeza mke tayari, na hapo ndiyo kuna mgogoro mkubwa. Hata tuhuma za uchawi zinahusika
Namaanisha alikua akimsaidia waziri kumfundisha dini maana nilisikia alikua hajui kabisa!Hajawahi kuwa ofisi ya Waziri mkuu ever since, namfahamu toka tunamaliza shule Iringa huko na mpaka tunaajiriwa yeye akapata kazi ya uhakimu akapangiwa kitio Mbeya mjini .
In short amepanda akiwa judiciary mpaka akawa Katibu wa Jaji Kiongozi (JK) then nadhani uTISS ailupata kabla ya kuwa Hakimu sababu alipotea mwaka mzima wakati sisi tunajoin University.
Thereafter akajoin Makerere University ndio aliporudi akakuta Kuna recruitment ya mahakimu wenye degree by then walikuwa wanafanya mabadiliko ya judiciary wale wasio na degree wabaki Mahakama ya mwanzo.
Akaacha kazi judiciary 2015 akaingia jimboni rufiji akamng'oa jamaa alikuwaga waziri wa afya mwarabu fulani hivi.
Amepambana na hiyo dini anayo ever since hata mie baba yake ni muumini mzuri tu.
Huyo binti kakutana nae hukohuko kwenye siasa na kwa taarifa tu ni mke wa tatu huyo sio wa kwanza na wameoana hata kabla mama hajawa Rais.
Mengineyo ya kuhama wizara mama ndio anajua yawezekana ni kuhusu hao TISS kweli lakini why should we speculate itakuwa tunapoteza muda Cha muhimu ni Waziri Tena wizara isiyo na presha za wanajeshi mshahara ni uleule tu wa Waziri.
Inaezekana! Alikua na mdomo mchafu hasa! Ila nadhani katika sukumagang yeye alikua wa kwwnza kukubali magu kafa na upepo ushabadilika akaita media akaomba msahama fastaHuyu dogo si ndiye aliyekuwa anawambia maaskofu kuwa fungeni midomo yenu.
Mchengerwa hakuwa waziri wa mambo ya ndani...kabla ya kuandika mambo uwe unachunguza.. Mchengerwa alikuwa Utawala bora na utumishi. Vitu tofautiAndenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.
Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole