Nini kimemkuta Waziri wa zamani na Wakili Msomi, Lawrence Masha hadi kufika kwa “Kiboko ya Wachawi”?

Nini kimemkuta Waziri wa zamani na Wakili Msomi, Lawrence Masha hadi kufika kwa “Kiboko ya Wachawi”?

Kufiriaika kubaya.
Amekata tamaa anazidai kuibiwa na matapeli manabii
Mimi ndiyo maana nikimuona mtu anaenda kwa hao wapigaji wala sihangaiki nae kumzuia maana huwa kwa uwezo wake wa kutambua vitu aliopewa anakuwa amefika mwisho kifikra so nachofanya namuacha aendelee kujifunza in hard way

Kwa msomi level ya huyu jamaa kufikia kwenda Buza huko ndani ndani kwenye banda la mabati kwa so called mtume kutabiriwa unaweza ukaona jinsi maisha yakimpiga mtu yanavyoondoa ufahamu wake.
 
Hata mgombane vipi mke na mume nashauri kutaka kuuana aisee hapana.
Dunia haina Siri .
Watoto na wazazi I na ndugu wa Inayets la kumuua wakijua inategemea utaishia vipi ?

Siku hizi kuna wanawake kuishi single parent au maisha ya ujane hawaoni shida ilimradi kama amefanya maarifa kwa Mwanaume ako na kibanda kinampa Hela za kujikimu.
Fikiria upendo umepotea kiasi hicho kweli kwenye mioyo ya watu?

Wanaume wengi tu wanaliwa timing. 😆😆
 
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.

Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Georgetown na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LL.B Hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaishia kwenye masuala kama haya!

Je, anatumiwa na huyu anayejiita mchungaji au ni tangazo hili?


Masha alikuwa mtu mzito sana kwa kweli. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Lyson Law Group na Tanga Cement, Managing Partner Gabriel & Co na IMMMA , Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana. Lakini pia alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa FastJet pamoja na nyadhifa nyingine nyingi alizokuwa nazo.

Pia soma;
1. Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar
2. Lawrence Masha amiliki asilimia 68 ya hisa Kampuni ya Fastjet Tanzania
3. Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano
4. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi
5. Logical conclusion ni kuwa Lawrence Masha siyo msafi
6. Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!
Daah! Hawa manabii hawa!
 
Kwa video hiyo, nilikuwa nimeanza kuingia kwenye reli ya kumuamini bwana nabii, kiboko ya uchawi... Mpaka hapo mwishoni aliposema kuwa kumbe wamekwishazungumza ofisini.... Nilijua hawajuani na hawajaonana kabisa... Tunapigwa mazee, tunapigwa!!
Wengi sana mtaumia kwa kuwasikiliza hao wendawazimu,wewe umestuka yupo mwenzako yupo Misungwi huko kesho anaenda kuuza mifugo mnadani apate nauli ya kufika Buza kumuona mtume wa wachawi.

Usisahau kabla hujaingia kumuona una-sign contract ya Tsh 200,000/= ili kwamba utabiri uliotegemea atakupa ukienda mrama usimsumbue,in short jamaa ana-behave kama kalumanzila.
 
Tatizo ni kama Kasema uongo lakini kama iwapo alichosema ni ukweli ni afadhali kwa Lawrence itampa kuchukua tahadhari.

Awareness is empowering.

Nabii ni kama mkwezi tu lakini nazi imeliwa na mwezi ( mtesi )👌
 
Kusoma saaana SIYO kuelimika, bali kuelimika ni kuongeza maarifa. Waziri mstaafu na Nabii wake wote wajinga!
 
Kuna uzi uliletwa leo na mdau mmoja kuhusu jamaa huko kenya aliyeua wanae, mkewe na kisha yeye kujiua kwa kuwa alikuwa ana mambo haya haya ya kushirikiana na manabii uchwara.

Kisha akaingizwa kingi na mali zake kutaifishwa.

Religion is the drug, religious leaders are the dealers their followers are the addicts.

Waathirika wa imani uchwara hawana tofauti na waathirika wa madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom