Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mimi maskini mla mihogo huwa nawaza sana inakuwaje mtu ulikuwa billionaire unakuja kufilisika mpaka hutamaniki! Shida huwa ni nini?kwa mtu aliyewahi fika peak ya mafanikio yake then ukafuata mdororo full msoto hawezi mshangaa Masha. Mpambanaji sasa haelewi ashike lipi, hapo kila mmoja na ushauri wake. Ila ipo siku atatoboa tu, japo inaweza isiwe namna alivyokuwa kabla, ila umri bado unamruhusu kufanya makubwa na kuishi vizuri.