gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Utapeli wa hii dini unaanzia pale vatikani ilipojitwika kuwa ndio muanzilishi wa bibilia
Ndio maana wayahudi waliikataa hii imani
Ndio maana wayahudi waliikataa hii imani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Optimist, alichoongea Nabii ni kweli, kwa sababu amehadithiwa kila kitu na Bwana Lawrence...Tatizo ni kama Kasema uongo lakini kama iwapo alichosema ni ukweli ni afadhali kwa Lawrence itampa kuchukua tahadhari.
Awareness is empowering.
Nabii ni kama mkwezi tu lakini nazi imeliwa na mwezi ( mtesi )👌
Promo ya kumtangaza mke wake ni mchawi sidhaniPromo Masha ukimpa laki anakuja kujichorosha maana maisha yanamuandama sana , kule Mtapeli wa Freemason walimchukua Mr . Nice kwa bei che awapigie promo ...Huwezi kumchukua mtu akiwa kweny prime ni pesa ndefu
huyu sio mchungaji mkuu, huyu ni mdharirishaji tusasa kwanini kudhalilishana mbele za watu pale kwamba na mkewe hawapo vizuri, na hawaishi pamoja. hawa wachungaji kwanini wasitunze siri za victims?
Safar ndedu sana chiefMaisha ni safari
Kila napofikiriaga hi ishu aahhKuondoka kwa ule mradi nadhani kulimpiga sana
Hakuwahi kuwa waziri wa Ulinzi bali alikuwa waziri wa mambo ya ndani ambayo ndio kuna polisi.Huyu jamaa kanikumbusha mwanza anakesha bar na mapolisi wakiwa na uniform zao akiwa waziri wa ulinzi
Ni kweli izi imani za manabii ni hatari sana ukizid kuziamn.Kuna uzi uliletwa leo na mdau mmoja kuhusu jamaa huko kenya aliyeua wanae, mkewe na kisha yeye kujiua kwa kuwa alikuwa ana mambo haya haya ya kushirikiana na manabii uchwara.
Kisha akaingizwa kingi na mali zake kutaifishwa.
Religion is the drug, religious leaders are the dealers their followers are the addicts.
Waathirika wa imani uchwara hawana tofauti na waathirika wa madawa ya kulevya.
Viongozi wengi watanzania ingawa wamesoma na wana uwezo mzuri lakino jambo moja ni kuwa Ba Kubebwa na Mfumo hawatoboi hata siku moja.Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Georgetown na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LL.B Hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaishia kwenye masuala kama haya!
Je, anatumiwa na huyu anayejiita mchungaji au ni tangazo hili?
Masha alikuwa mtu mzito sana kwa kweli. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Lyson Law Group na Tanga Cement, Managing Partner Gabriel & Co na IMMMA , Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana. Lakini pia alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa FastJet pamoja na nyadhifa nyingine nyingi alizokuwa nazo.
Pia soma;
1. Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar
2. Lawrence Masha amiliki asilimia 68 ya hisa Kampuni ya Fastjet Tanzania
3. Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano
4. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi
5. Logical conclusion ni kuwa Lawrence Masha siyo msafi
6. Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!