Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
sasa kwanini kudhalilishana mbele za watu pale kwamba na mkewe hawapo vizuri, na hawaishi pamoja. hawa wachungaji kwanini wasitunze siri za victims?
Mimi ndiyo maana nikimuona mtu anaenda kwa hao wapigaji wala sihangaiki nae kumzuia maana huwa kwa uwezo wake wa kutambua vitu aliopewa anakuwa amefika mwisho kifikra so nachofanya namuacha aendelee kujifunza in hard wayKufiriaika kubaya.
Amekata tamaa anazidai kuibiwa na matapeli manabii
KabisaMaisha ni safari
Wewe umeyaamini hayo yaliyokuwa yanaendelea hapo ktk video?Ila wanawake wengine jamani ?!
Kwanini anataka kumuangamiza mwenzie jamani ?
Wewe umeyaamini hayo yaliyokuwa yanaendelea hapo ktk video?
Hata mgombane vipi mke na mume nashauri kutaka kuuana aisee hapana.
Dunia haina Siri .
Watoto na wazazi I na ndugu wa Inayets la kumuua wakijua inategemea utaishia vipi ?
Daah! Hawa manabii hawa!Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Georgetown na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LL.B Hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaishia kwenye masuala kama haya!
Je, anatumiwa na huyu anayejiita mchungaji au ni tangazo hili?
Masha alikuwa mtu mzito sana kwa kweli. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Lyson Law Group na Tanga Cement, Managing Partner Gabriel & Co na IMMMA , Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana. Lakini pia alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa FastJet pamoja na nyadhifa nyingine nyingi alizokuwa nazo.
Pia soma;
1. Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar
2. Lawrence Masha amiliki asilimia 68 ya hisa Kampuni ya Fastjet Tanzania
3. Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano
4. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi
5. Logical conclusion ni kuwa Lawrence Masha siyo msafi
6. Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!
Wengi sana mtaumia kwa kuwasikiliza hao wendawazimu,wewe umestuka yupo mwenzako yupo Misungwi huko kesho anaenda kuuza mifugo mnadani apate nauli ya kufika Buza kumuona mtume wa wachawi.Kwa video hiyo, nilikuwa nimeanza kuingia kwenye reli ya kumuamini bwana nabii, kiboko ya uchawi... Mpaka hapo mwishoni aliposema kuwa kumbe wamekwishazungumza ofisini.... Nilijua hawajuani na hawajaonana kabisa... Tunapigwa mazee, tunapigwa!!