Nini kimemkuta Waziri wa zamani na Wakili Msomi, Lawrence Masha hadi kufika kwa “Kiboko ya Wachawi”?

Tatizo ni kama Kasema uongo lakini kama iwapo alichosema ni ukweli ni afadhali kwa Lawrence itampa kuchukua tahadhari.

Awareness is empowering.

Nabii ni kama mkwezi tu lakini nazi imeliwa na mwezi ( mtesi )👌
Ndugu Optimist, alichoongea Nabii ni kweli, kwa sababu amehadithiwa kila kitu na Bwana Lawrence...

Hapo mwishoni nabii maekili hayo.

Nabii anaongea mbele ya kadamnasi kana kwamba anayoyaongea anayatoa from no where!!

Dah, sasa hadhira inavosikia nabii akitaja tarehe ya kuzaliwa... Kumbe kaambiwa na muhusika ofisini... 🤣🤣
 
Promo Masha ukimpa laki anakuja kujichorosha maana maisha yanamuandama sana , kule Mtapeli wa Freemason walimchukua Mr . Nice kwa bei che awapigie promo ...Huwezi kumchukua mtu akiwa kweny prime ni pesa ndefu
 
Kuna wakati kwenye maisha kila unachofanya kinatick na kuna kipindi mambo yanaenda vibaya kila sehemu kiasi kwamba unahisi kunauwezekano kuna mtu/watu wapo nyuma yako wanajaribu kukuangusaha nahisi ndicho anacho pitia ndugu Masha.
Mwenyezi Mungu ampe hekima na uvimilivu katika kipindi hiki
 
Ni kweli izi imani za manabii ni hatari sana ukizid kuziamn.
 
Nawakumbusha Malipo ni hapa hapa Duniani............

Kuna watu wataishi miaka mingi duniani wakizani Mungu anawapenda kumbe anataka kukuonesha machungu ya watesi wako uliowaonea vibaya mno ili ujue kumbe Mungu yupo........

Kuna mzee mmoja mtaani hapa alikuwa dhuluma now hata kifo kimemkimbia japo anakitaman maana sio kwa msoto wa kuoza mwili mzima huku yupo hai
 
Viongozi wengi watanzania ingawa wamesoma na wana uwezo mzuri lakino jambo moja ni kuwa Ba Kubebwa na Mfumo hawatoboi hata siku moja.

Adv Lau ameenda kwa waganga kutafuta bahati yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…