Mimi maskini mla mihogo huwa nawaza sana inakuwaje mtu ulikuwa billionaire unakuja kufilisika mpaka hutamaniki! Shida huwa ni nini?kwa mtu aliyewahi fika peak ya mafanikio yake then ukafuata mdororo full msoto hawezi mshangaa Masha. Mpambanaji sasa haelewi ashike lipi, hapo kila mmoja na ushauri wake. Ila ipo siku atatoboa tu, japo inaweza isiwe namna alivyokuwa kabla, ila umri bado unamruhusu kufanya makubwa na kuishi vizuri.
wapi unawekeza, kiasi gani gani unawekeza ndio uwa changamoto kubwa, mfano masha aliuza assets zake ili anunue fastjet akiamini kwamba Magu hakupenda wazungu ndio maana akawanyima leseni fastjet, kumbe Magu alijua uwepo wa fastjet Air Tanzania isingetoboa..... yaliyomkuta ndio hayo, bahati mbaya amenunua shares za fastjet ambayo haikuwa na assets, ndege walikuwa wanakodi tu.Mimi maskini mla mihogo huwa nawaza sana inakuwaje mtu ulikuwa billionaire unakuja kufilisika mpaka hutamaniki! Shida huwa ni nini?
Unaweza kuelezea Magufuli aliuwaje FastJet?Ni mataokeo ya Magufuli kutaka kuuwa mashirikia mengine ya ndege ikwapo Fastjet na Precision Air. Alifanikiwa kuuwa Fastjet ambayo Masha alikuwa mdau mkubwa nadhani hiyo ndio imempiga shoti Masha kutamani kufa kabisa kuliko kuishi.
Mwendazake anahusika kummaliza,aende kwa Kizmkazi Mzee wa kunyanyasa watu kwao zenji akamuone ampe mkanda mzima anaweza mchukulia furushi Moja la yule wa TRA akamwinuaAliwekeza pesa zake nyingi kwenye ule mradi wake wa FastJet baada ya kuuza asset zake, bahati mbaya serikali ikaja kumuondoa relini.
Hawa manabii wengi wanatangulizwa mbele lakini hiz ni biashara za watu stukeni watz. Mnapigwa hela mchana kweupe.Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na kushuka lakini inakuwaje mtu msomi kama Masha mwenye Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kutoka Kituo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Georgetown na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LL.B Hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, anaishia kwenye masuala kama haya!
Je, anatumiwa na huyu anayejiita mchungaji au ni tangazo hili?
Masha alikuwa mtu mzito sana kwa kweli. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Lyson Law Group na Tanga Cement, Managing Partner Gabriel & Co na IMMMA , Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana. Lakini pia alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa FastJet pamoja na nyadhifa nyingine nyingi alizokuwa nazo.
Pia soma;
1. Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar
2. Lawrence Masha amiliki asilimia 68 ya hisa Kampuni ya Fastjet Tanzania
3. Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano
4. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi
5. Logical conclusion ni kuwa Lawrence Masha siyo msafi
6. Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!
Kwani wenyewe wanasemaje?
Anakwenda kunyanyuka mara 100 zaidi, HAWA WAKE TULIONAO BY 50 %, HUWA NI MASHETANI.Kufirisika kubaya.
Amekata tamaa anazidai kuibiwa na matapeli manabii
Hii ipo huku Africa tu.. Ni mifumo mibovu ya uwekezajiMimi maskini mla mihogo huwa nawaza sana inakuwaje mtu ulikuwa billionaire unakuja kufilisika mpaka hutamaniki! Shida huwa ni nini?
Tena atapata hela nyingi sanaa.Ila wakuu Tunzeni na wekeni akiba ya maneno. Maji hufuata mkondo wake hata baada ya miaka 100! Huyu atakuja Pata hela tena huko mbele labda afe
Diy hatari sanaNawakumbusha Malipo ni hapa hapa Duniani............
Kuna watu wataishi miaka mingi duniani wakizani Mungu anawapenda kumbe anataka kukuonesha machungu ya watesi wako uliowaonea vibaya mno ili ujue kumbe Mungu yupo........
Kuna mzee mmoja mtaani hapa alikuwa dhuluma now hata kifo kimemkimbia japo anakitaman maana sio kwa msoto wa kuoza mwili mzima huku yupo hai
Huyo masha anavimeo vingi sana vichafu. Kuna wakati alipata pesa mingi na kuwa waziri wa mambo ya ndani akam-dump mkewe wa ujanani akaoa huyo mwanamke ambaye anamtesa sasa. Harusi iluwa ya "Nguvu" kubwa...Hata mgombane vipi mke na mume nashauri kutaka kuuana aisee hapana.
Dunia haina Siri .
Watoto na wazazi na ndugu wa mume wakija kujua unazani wata react vipi??
Huyo masha anavimeo vingi sana vichafu. Kuna wakati alipata pesa mingi na kuwa waziri wa mambo ya ndani akam-dump mkewe wa ujanani akaoa huyo mwanamke ambaye anamtesa sasa. Harusi iluwa ya "Nguvu" kubwa...
Angalia mauaji ya watoto sasa hivi ndio utaelewa
!Huyo masha anavimeo vingi sana vichafu. Kuna wakati alipata pesa mingi na kuwa waziri wa mambo ya ndani akam-dump mkewe wa ujanani akaoa huyo mwanamke ambaye anamtesa sasa. Harusi iluwa ya "Nguvu" kubwa...
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.