Ila umemuona akiingia kanisani?Mumewahi kumuona akiingia msikitini?! January mama yake ni mnaswara na jina la January pia linaasili ya nchi za magharibi mwa Dunia. Sasa huo uislamu wa January ni uislamu wa kufikirika.
Acha kufuru Dada, Mungu hadhiakiwi.Wewe hauna uhakika, mimi ninao uhakika. Nitakuja kukumbusha hii post 2030.
Mjinga huyo,huo usemi ulianzishwa na mafisadi. Utaongelea vipi vitu bila kurelate na watu?Ideas bila kurelate na watu?.
Nina Imani hiyo. Yes I have faith. In God I trust. 2030 will be here. YES I WILL BE HERE.Acha kufuru Dada, Mungu hadhiakiwi.
Wanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.Hapa kaenda kuswali Eid kama nani?
Mnakimbia ukweli,Nyerere asingeangalia uzenji ama utanganganyika asingeleta sheria ya mgombea Urais akitoka Tanganyika basi mwenza atoke Zenj na vice versa.Ila hili taifa lina uozo wa ubaguzi manina 🤣
Watu wanaangaliana kwa dini/ kanda/ uzenji na ubara instead ya kuonana kama waTz
Wewe bado hujawajuwa vizuri wanasiasa.Hapa kaenda kuswali Eid kama nani?
Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?Wewe bado hujawajuwa vizuri wanasiasa.
Sasa hiyo Picha uliyoleta hapa kabeba mtoto hapo ndio anaswali?Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?
Hata Majaliwa kila Jumapili Yuko Kanisani na mkewe...lakini ikitokea issue za waislam anavaa kanzu fastaWanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.
Na hawa masheikh kwenye mambo ya duwa ndio wenyewe.
Kwahiyo hapo bado haujathibitisha uislamu wa January Makamba.
Au na Mimi nikuletee Picha ya Mlutheran Freeman Mbowe akiwa katika baraza la Idd ametinga kanzu koti na baraghashia?
Hapo kamaliza kuswali Eid,au ni kwa vile alijua 2025 ni zamu ya Muislam ndo maana akawa Muislam. Sasa 2030 ni zamu ya mkristo anakuwa mkristo tena. Ikitokea Mpango akawa Rais 2026 .January atakuwa Muislam tena. 🤣🤣🤣Sasa hiyo Picha uliyoleta hapa kabeba mtoto hapo ndio anaswali?
Waislamu kina Kitenge unawaona wapo Umra kuhiji unadhani January hana pesa ya kwenda Hija Mecca?
Unazijuwa nguzo 5 za Uislamu?
January ni dini gani?
Hawa wanaitwa Murtad.😀😀Hata Majaliwa kila Jumapili Yuko Kanisani na mkewe...lakini ikitokea issue za waislam anavaa kanzu fasta
Ikitokea Mpango eeh?Hapo kamaliza kuswali Eid,au ni kwa vile alijua 2025 ni zamu ya Muislam ndo maana akawa Muislam. Sasa 2030 ni zamu ya mkristo anakuwa mkristo tena. Ikitokea Mpango akawa Rais 2026 .January atakuwa Muislam tena. 🤣🤣🤣
Tokea siku zote ni muislam,ndo hivi karibuni ilisemekana anataka kubadili dini na kuwa mkristo ili aongeze chance ya kuchaguliwa kuwa mgombea urais CCM 2030.
Why umeshtuka sheikh ?Ikitokea Mpango eeh?
Mnakoleza fitna halafu mnajifanya ikitokea?
Mmeshaanza kutupanga mapema kabisa yale ya Malechela naona yanajirudia Mzee jumanne.
Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?
Fitina zenu tunazijua..Why umeshtuka sheikh ?