Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Ila umemuona akiingia kanisani?Mumewahi kumuona akiingia msikitini?! January mama yake ni mnaswara na jina la January pia linaasili ya nchi za magharibi mwa Dunia. Sasa huo uislamu wa January ni uislamu wa kufikirika.