Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Mumewahi kumuona akiingia msikitini?! January mama yake ni mnaswara na jina la January pia linaasili ya nchi za magharibi mwa Dunia. Sasa huo uislamu wa January ni uislamu wa kufikirika.
Ila umemuona akiingia kanisani?
20230715_175338.jpg
 
Hapa kaenda kuswali Eid kama nani?
Wanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.

Na hawa masheikh kwenye mambo ya duwa ndio wenyewe.

Kwahiyo hapo bado haujathibitisha uislamu wa January Makamba.

Au na Mimi nikuletee Picha ya Mlutheran Freeman Mbowe akiwa katika baraza la Idd ametinga kanzu koti na baraghashia?
 
Ila hili taifa lina uozo wa ubaguzi manina 🤣
Watu wanaangaliana kwa dini/ kanda/ uzenji na ubara instead ya kuonana kama waTz
Mnakimbia ukweli,Nyerere asingeangalia uzenji ama utanganganyika asingeleta sheria ya mgombea Urais akitoka Tanganyika basi mwenza atoke Zenj na vice versa.
 
Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?
Sasa hiyo Picha uliyoleta hapa kabeba mtoto hapo ndio anaswali?

Waislamu kina Kitenge unawaona wapo Umra kuhiji unadhani January hana pesa ya kwenda Hija Mecca?

Unazijuwa nguzo 5 za Uislamu?
 
Wanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.

Na hawa masheikh kwenye mambo ya duwa ndio wenyewe.

Kwahiyo hapo bado haujathibitisha uislamu wa January Makamba.

Au na Mimi nikuletee Picha ya Mlutheran Freeman Mbowe akiwa katika baraza la Idd ametinga kanzu koti na baraghashia?
Hata Majaliwa kila Jumapili Yuko Kanisani na mkewe...lakini ikitokea issue za waislam anavaa kanzu fasta
 
Sasa hiyo Picha uliyoleta hapa kabeba mtoto hapo ndio anaswali?

Waislamu kina Kitenge unawaona wapo Umra kuhiji unadhani January hana pesa ya kwenda Hija Mecca?

Unazijuwa nguzo 5 za Uislamu?
Hapo kamaliza kuswali Eid,au ni kwa vile alijua 2025 ni zamu ya Muislam ndo maana akawa Muislam. Sasa 2030 ni zamu ya mkristo anakuwa mkristo tena. Ikitokea Mpango akawa Rais 2026 .January atakuwa Muislam tena. 🤣🤣🤣
 
Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?

Upo sahihi January ni Muislam niliisha faitilia maelezo yake Insta aliandika , aliwahi kuishi na bibi yake mkoani Kagera vijijini akiwa mdogo tu kwa umri na akikumbukia kisa cha Muislam mmoja aliekuwa anatafutwa na bibi yake mzaa mama (Mkristo) achinje kuku kwa sababu January alitakiwa kula nyama/kuku aliechinjwa kwa misingi ya imani yake ya Kiislam na akasema cha kuchekesha mchinjaji anaenda kutafutwa afu akipatikana anakuwa ameisha kunywa pombe kama hajitambui

January ni Muislam, labda abadili kwa sababu hizo za kisiasa , ila mkewe wanasema ni Mkristo na mama yake mzazi pia
 
Back
Top Bottom