Moto na Moshi Nyuki hawapendi wanakimbia kwa hio hapowangewasha hata magazeti tu ule Moshi tu ni sumu kwa nyuki wakivuta Moshi baadhi wanakufa ndio maana wanakimbiaBaadhi ya watu wanapigwa na butwaa wanashindwa kupata mbinu ya haraka ya kumsaidia. Hapo wangefanyaje kumuokoa?
Wale wale tu mkuu usijifariji.Kwahiyo unatufananisha wa tz na waganda wanaokula nyama ya tako la binadamu angalia kideo cha Iddi amini dada pls usitufananishe nao
Moshi ndio sumu ya nyuki wanalewa wakipigwa na Moshi wengine wanakufa kabisaHiyo gari ina exhaust pipe, ni kiasi cha kugeuza gari. Piga resi nyingi nyuki watatawanyika. Shuka kwenye gari mtumbukize mdada humo issue solved.
Mafuta ya taa Tu yangesaidia au moto, ina maana wote hakuna aliyekua hata na kiberiti akawasha Moto?? Tuweni serious, ila wote waliweza kuchukua Simu na kumrekodiKatika hali kama hiyo ungemuokoaje?
Duh ety na SS tunakosa msaada hahahaKuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi.
Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
View attachment 3088650
Sishauri kabisa kutumia mafuta ya taa.Mafuta ya taa Tu yangesaidia au moto, ina maana wote hakuna aliyekua hata na kiberiti akawasha Moto?? Tuweni serious, ila wote waliweza kuchukua Simu na kumrekodi
Mbona sijaona aliposema amekufa.Umeshasema alikufa sasa unauliza nini ilikua hatma ya marehemu?
Nimekumbuka yule Scorpion aliyekuwa anampiga Me mwenziye hadharani hadi kumnyofoa macho na Me wa DSM wanamkodolea macho tu...😏Wanaume wa daslam bunju ni hovyo grade one bladi hell...☹️
Labda walikua hawajavutiwa na hio Pisi ingekua wamevutiwa hata muda wa kuchukua clip wasingeupataMijamaa mipimbi kabisa
Kijinga cha Moto wakati wanalo Gari hapo ni kuligeuza tu na kumpulizia Moshi nyuki wanamuachaNimekumbuka yule Scorpion aliyekuwa anampiga Me mwenziye hadharani hadi kumnyofoa macho na Me wa DSM wanamkodolea macho tu...😏
Ilitakiwa Mtu avae blanketi afu aje na kiginga cha moto awafukuze nyuki huku akipiga kelele wakikimbia toka hapo ili Watu waje zaidi wawasaidie 😡
Utapata hata huo muda wa kuwasha moto?..unawajua nyuki unawasikia!!..hapo ujitoe tu mkawaganeaisee wameniskitisha sana. hapo ni moto tu. mafala sana hayo mapimbi
Wafunguliwe mashtaka sababu uzalendo mkubwa ni kuokoa uhai wa Mtu si kukodolea macho Mtu akikata roho kama mashoga ya kike.aisee wameniskitisha sana. hapo ni moto tu. mafala sana hayo mapimbi