Umenikumbusha Kuna manzi mmoja nilikuwa nae rumu tunafurahia maisha wakati ule generation Z wa Kenya wakiandamana.Hamna mtanzania jasiri wewe ungekua jasiri ccm isingekua madarakani hivyo wewe nae mrembo tu kama hao
Aliyeleta taarifa humu alisema huyo Dada amepoteza maisha, if ni tofauti basi ni jambo la heriAmefariki? Nimeona alipelekwa hospital, watanzania tumepoteza utu kabisa. Tumekuwa waoga kupitiliza.
Ni juzi tu abiria wa bus zima wamemuangalia dereva wao akipigwa hadi kifo, aibu.
Hamna jasiri tanzania acha ujinga wewe mbona usikiiAliyeleta taarifa humu alisema huyo Dada amepoteza maisha, if ni tofauti basi ni jambo la heri
Watanzania inaonekana tuna woga kupitiliza, angalau wale Wamakonde wa Mtwara wana ujasiri kidogo compared na huku kwingine
Wewe una uraia wa Nchi gani boss?Hamna jasiri tanzania acha ujinga wewe mbona usikii
Two useless π§ , mchuchu anatapatapa hapo "huyu mdada huyu nyuki wanaamuaa huyu " two piece of shit πHovyo sana hao jamaa, wamefanya mrembo apoteze maisha huku wao wakiangalia as if sio Wanaume wenzetu π
KenyaWewe una uraia wa Nchi gani boss?
Hili jambo la kurekodi mtu/watu walio kwenye hali ya hatari ya kifo na kusambaza inatakiwa itunguwe sheria na adhabu kali itolewe kwa wahusika. Huu siyo ubinadamu.Wenye wanakuuliza sasa pale tungefanyaje? Nchi hii ina vijana wengi ambao wana upeo mdogo wa kufikiri. Akili za kutoa simu kurekodi anazo ila akili za kumuokoa binadamu mwenzake hana.
Upo sahihi 100%, ukijifunika nguo nyuki hawezi kukuuma.Mimi nilikutana na nyuki ambao walitoka kuchokozwa ghafla bini vuu hawa hapa nililala chini chap nikajifunika kikoi nikatulia tuli wakanizingira badae wakaamua kuondoka,kilikuwa kitendo cha ghafla na ndo nilikuwa nimeajiriwa,asee niliwaza sana.Ila hawa wanaume ni wajinga sana
Jamaa anajitahid sana kwenye comments, hanaga ujingaIla comment zako Zina uzito balaa
Zamani nilipokuwa huko Bush nilikuwa naimagine watu wote wa dar ni matapeli sasa na mimi nimo jijini sijui nimekuwa tapeliπ π πYaani viberiti vya kuwashia Sigara wanavyo ila wameshindwa kuwasha hata Makaratasi kuwakimbiza hao Nyuki
Hata kama naishi DSM, sitaki hata kusikia Wakiniita Mwanaume wa DSM π
Hahaha.................ngoja nikuagize unifikishie hela sehemu nione kama zitafika salama πZamani nilipokuwa huko Bush nilikuwa naimagine watu wote wa dar ni matapeli sasa na mimi nimo jijini sijui nimekuwa tapeliπ π π
Yani ndo hiyo yako wakiitwa wanaume wa dar utatoka tu usipotoka basi we 'mwananke'Hahaha.................ngoja nikuagize unifikishie hela sehemu nione kama zitafika salama π
Wote tumekuwa Wanaume wa Dar sasa π
Hahaha........................Kwa kweli, wanakamilisha msemo wa Samaki mmoja akioza wote wameoza πYani ndo hiyo yako wakiitwa wanaume wa dar utatoka tu usipotoka basi we 'mwananke'
Wangemuaokoaje? Elezea wewe ungefanyaje dogo.Wanaume wa daslam bunju ni hovyo grade one bladi hell...βΉοΈ
Ni wanaume wa Dar kazi yao ni kurekodi tu na kula chipsi mayaiWanaume wa bongo hamna kitu kabisa hapo